Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe avamiwa kwenye Uchaguzi mdogo Muhambwe

mkalamo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
324
347
Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,akiwa na mgombea ubunge wa Jimbo la Muhambwe Julius Masabo wamevamiwa na watu waliokuwa kwenye magari matatu yanayosadikiwa kuwa ya CCM yakiwa na namba za Usajili T281BFG, T195JV na T148DFA.

Katika uvamizi huo gari yenye namba DFA inasadikiwa kuwa na kura feki zilizokwishapigwa.

Tayari ameshamjulisha tukio hilo OCD Kibondo.

Miongoni mwa gari hizo mbili zinadaiwa kuwa na watu waliojihami kwa mapanga
1621177652753.png

 
Pamoja na Jiwe kuondoka bado kuna watu wenye kasumba za hovyo. Za kujiona wao ndiyo wao. Wao ndiyo nchi.

Hii mbaya sana , Tanzania tulifikia kudharaulika na kila muungwana huko ulimwenguni kwa sababu ya mambo kama haya. Kiti tu cha ubunge , kwanini ufanye mambo kama haya?!

Samia Una KAZI
 
Pamoja na Jiwe kuondoka bado kuna watu wenye kasumba za hovyo. Za kujiona wao ndiyo wao. Wao ndiyo nchi.

Hii mbaya sana , Tanzania tulifikia kudharaulika na kila muungwana huko ulimwenguni kwa sababu ya mambo kama haya. Kiti tu cha ubunge , kwanini ufanye mambo kama haya ?!.

Samia Una KAZI
Leo Zito Kate kwa na Magufuli wewe kichaa www
 
Back
Top Bottom