Zitto Kabwe atoa orodha ya watu waliotekwa na kuuawa Mkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU)

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,323
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa hukoMkuranga, Kibiti na Rufiji (MKIRU) orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.

Zitto umekuwa mwiba kwa hii Serikali kwa sasa.

376C6A8A-2416-4923-ACAF-92B9D050A990.jpeg

B7D5AB79-4345-40AB-ADBC-E375D54D6BD5.jpeg

050A0A99-DF8F-4B8D-BC57-E7A7CB4F9F1E.jpeg

304524CD-F748-43B5-9E74-DE7D52D508FF.jpeg

7B98DF1F-BE3C-42B9-9F7B-6B96884EBF75.jpeg

D85253A3-9F07-425B-9071-A18C3931C646.jpeg
 
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa huko Kibiti orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.
Na bahati mbaya sana wewe huna moyo. Uliupeleka wapi?
 
Nyie BAVICHA NA HUYO NGURUMO mnalaana.......Ni mara mia hao 68 wamepotea kuokoaa Mamilioni ya WATANZANIA.....hao walikuwa ni MAGAIDI
UJIULIZI KWANINI HAO 68 wamepotezwa na KIBITI,MKURANGA NA RUFIJI zipo safi na salama kwa sasa???ebu tuanzie hapo....
Obvious hao waliopotezwa ndio waliokuwa wanatusumbua...Ingekuwa hao 68 wamepotezwa na mauaji yakawa yanaendelea sehemu HIZO hapo tungekuwa na hoja za msingi kuhoji hili linalo hojiwa sasa.....
zitto acha kujitafutia UMAARUFU WA AJABU....kumbuka huu ni USALAMA WA NCHI YETU....
Unless otherwise una ajenda ya SIRI
 
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa huko Kibiti orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.

Zitto umekuwa mwiba kwa hii serikali kwa sasa.

Mimi nina moyo mmoja kwa hiyo nitamtaja mmoja na wewe taja mmoja, mimi namjua bashite
 
Kibidi kilichokuwa kinaendelea ni Maigzo to kupoteza watu. Hii intel nilkuwa nayo toka zaman from ndugu angu ambaye ni police. Yale mambo ya sijui tumekamata silaa kibiti yalkuwa maigizo tu.
 
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa huko Kibiti orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.

Zitto umekuwa mwiba kwa hii serikali kwa sasa.
Mods mmeondoa comments zangu.
Hao walitiwa kibini ni wafuasi na walipata mafunzo ya kigaidi.

Kupotea kwao ni heri kwa watanzania milioni 50.
Tumpongeze Magufuli na vyombo vyake kwa kuiniga situation in the bud.
Tatizo lingehamia mijini lingekuwa balaa kubwa.
 
ahahhahahaa unaogopa kuwa kama mayalla naona kapotea sana tangu aitwe kuhojiwa

nipe hata link basi..
Kuingia matatizoni kijnga/bila kuchukua tahadhari sio ushujaa.

Hata Zitto kawa mjanja kuitoa hiyo orodha Bungeni na aliowatuhumu kuteka/kuua.
 
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa huko Kibiti orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.

Zitto umekuwa mwiba kwa hii serikali kwa sasa.
Mkuu hatuna access na hilo gazeti.
Ingependeza kama unge share nasi full report
 
Hili gazeti limechapisha orodha ya kwanza ya watu 68 wanaotajwa kupototea/kuwawa huko Kibiti orodha ambayo kwa mujibu wa gazeti hilo imetolewa na Zitto Bungeni.

Orodha hii ya majina ya watu wanaotajwa kupotea imetaja majina ya wahanga(watu waliopotea) na mtuhumiwa wa kuwapoteza watu hao.

Waliotuhumiwa kupoteza watu na ambao wametajwa katika habari hiyo inataka moyo kuwataja hapa.

Zitto umekuwa mwiba kwa hii serikali kwa sasa.
Weka hapa hiyo orodha basi
 
Mimi naanza kumtaja hapa.
1. Paulo bashite
 
Back
Top Bottom