Zitto Kabwe Asema Rais Magufuli Ameliingizia Taifa hasara ya Bilion 36 Tangu Awe Rais

Mwabhleja

JF-Expert Member
Jan 27, 2016
1,351
2,061
1.jpg

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Rais John Pombe Magufuli ameliingizia taifa hasara ya bilioni 36 mpaka sasa toka alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika kuwa kitendo cha Rais Magufuli kushindwa kuchukua hatua juu ya malipo ya IPTL ambayo yanalipwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kila mwezi yamepelekea sasa hivi kufikia jumla ya bilioni 36.
"Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendeza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni (kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ). Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani" aliandika Zitto Kabwe.
Wakati Rais John Magufuli anatimiza siku 100 toka kutangazwa kama Rais Zitto Kabwe alitoa tathimini yake na kugusia sakata la Escrow pamoja na kampuni ya IPTL na kusema kuwa pesa ambazo wamelipwa IPTL/PAP kwa siku 100 tu zingeweza kununua CT Scan kwa hospitali zote za mikoa nchini.
"Mkataba wa IPTL bado unaendelea kunyonya Nchi na Serikali inatazama tshs 8 bilioni zinalipwa Kwa matapeli wa IPTL na PAP kila mwezi.

"Katika siku 100 tangu Rais Magufuli aingie madarakani, jumla ya tshs 30 bilioni zimeshalipwa Kwa IPTL/PAP ambazo zingeweza kununua CT scan Kwa hospitali zote za mikoa nchini.

"Fedha hii ni zaidi ya mkopo ambao Serikali imechukua kutoka Benki ya Dunia ili kujenga ' fly over ' ya Ubungo jijini Dar Es Salaam" Alisema Zitto Kabwe.
SOURCE: MPEKUZI HURU
 
ah hebu hatuache kwanza na raisi wetu, hatuwezi kutumbua majibu yote kwa mkamua mmoja bhna, tunakamuo moja baada ya lingine, avute subira
Miaka mitano siyo mingi kama unavyodhani, kutekeleza ahadi za kujenga kiwanda kila pahala siyo jambo la mchezo. Harafu, hata hayo aliyoainisha Mhe.Zitto ni majipu kama siyo mabusha
 
Inatakiwa zzk atumie na akili kidogo, je JPM amesevu ngapi??
Si ajabu wabunge wa ACT yuko mmoja!
 
1.jpg

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Rais John Pombe Magufuli ameliingizia taifa hasara ya bilioni 36 mpaka sasa toka alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika kuwa kitendo cha Rais Magufuli kushindwa kuchukua hatua juu ya malipo ya IPTL ambayo yanalipwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kila mwezi yamepelekea sasa hivi kufikia jumla ya bilioni 36.
"Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendeza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni (kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ). Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani" aliandika Zitto Kabwe.
Wakati Rais John Magufuli anatimiza siku 100 toka kutangazwa kama Rais Zitto Kabwe alitoa tathimini yake na kugusia sakata la Escrow pamoja na kampuni ya IPTL na kusema kuwa pesa ambazo wamelipwa IPTL/PAP kwa siku 100 tu zingeweza kununua CT Scan kwa hospitali zote za mikoa nchini.
"Mkataba wa IPTL bado unaendelea kunyonya Nchi na Serikali inatazama tshs 8 bilioni zinalipwa Kwa matapeli wa IPTL na PAP kila mwezi.

"Katika siku 100 tangu Rais Magufuli aingie madarakani, jumla ya tshs 30 bilioni zimeshalipwa Kwa IPTL/PAP ambazo zingeweza kununua CT scan Kwa hospitali zote za mikoa nchini.

"Fedha hii ni zaidi ya mkopo ambao Serikali imechukua kutoka Benki ya Dunia ili kujenga ' fly over ' ya Ubungo jijini Dar Es Salaam" Alisema Zitto Kabwe.
SOURCE: MPEKUZI HURU

Kwanini kule Bungeni wasilitumbue hili la Mkataba? wao ndio watunga sheria. Labda tuseme ni Bunge ndio limeshindwa hili...
 
Kwani hili suala limeanza sasa hivi wakati wa uongozi wa Mh Magufuli au liianza mda mrefu? Aelzee hasara ya miaka yote na sio ya muda huu tu wa awamu ya 5.
 
Sidhani kama Watanzania tunasahau kwa uharaka wa kiwango hiki, juzi juzi kabla ya uchaguzi mkuu serikali ilifanya ukiritimba na kupitisha haraka haraka miswada ya mafuta na gesi ilikuwa kwa maslahi ya nani?
Mikataba ya nchi hii haiwashirikishi wananchi kupitia bunge badala yake bunge limekuwa chambo cha serikali kupitisha mambo yasiyo sawa kwa minajiri ya itikadi. Sasa wabunge wa upinzani bado hawana makucha ya kupambana na serikali + baadhi ya wabunge wa CCM wanaoogopa kuikosoa serikali
 
Kwani hili suala limeanza sasa hivi wakati wa uongozi wa Mh Magufuli au liianza mda mrefu? Aelzee hasara ya miaka yote na sio ya muda huu tu wa awamu ya 5.
Kwani hayo majipu mengineyo anayosifiwa kuyatumbua yalianza awamu yake au yalikuwepo hata kabla. Usikwepeshe msumeno kisa mkono wa mjomba hivyo hakuna haja ya kuogopa kukosoa mapungufu kwa ajili ya ustawi wa taifa.
 
1.jpg

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Rais John Pombe Magufuli ameliingizia taifa hasara ya bilioni 36 mpaka sasa toka alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika kuwa kitendo cha Rais Magufuli kushindwa kuchukua hatua juu ya malipo ya IPTL ambayo yanalipwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kila mwezi yamepelekea sasa hivi kufikia jumla ya bilioni 36.
"Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendeza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni (kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ). Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani" aliandika Zitto Kabwe.
Wakati Rais John Magufuli anatimiza siku 100 toka kutangazwa kama Rais Zitto Kabwe alitoa tathimini yake na kugusia sakata la Escrow pamoja na kampuni ya IPTL na kusema kuwa pesa ambazo wamelipwa IPTL/PAP kwa siku 100 tu zingeweza kununua CT Scan kwa hospitali zote za mikoa nchini.
"Mkataba wa IPTL bado unaendelea kunyonya Nchi na Serikali inatazama tshs 8 bilioni zinalipwa Kwa matapeli wa IPTL na PAP kila mwezi.

"Katika siku 100 tangu Rais Magufuli aingie madarakani, jumla ya tshs 30 bilioni zimeshalipwa Kwa IPTL/PAP ambazo zingeweza kununua CT scan Kwa hospitali zote za mikoa nchini.

"Fedha hii ni zaidi ya mkopo ambao Serikali imechukua kutoka Benki ya Dunia ili kujenga ' fly over ' ya Ubungo jijini Dar Es Salaam" Alisema Zitto Kabwe.
SOURCE: MPEKUZI HURU
Hawa eti ndiyo wanasiasa wategemewa Tanzania! IPTL imeanza leo hadi hiyo hasara aione leo? Mbona anasema tu pesa ambayo IPTL inalipwa, hasemi bidhaa tunayouziwa?! Mitambo ya IPTL ikizimwa hasemi itapunguza umeme kiasi gani na utaathiri au hautaathiri umeme wetu kiasi gani?
Pole Tanzania nchi yangu hujapata wanasiasa wa upinzani bali una walopokaji ambao wanatafuta sifa kwa Wananchi wako.
 
Kwahiyo kwakua kasevu kadhaa basi nyingine aziache zipotee? Kweli wewe wa lumumba na utakufa ukiwa kishikizo
Usiwe mbuPU, unataka akamue majipu yote kwa wakati mmoja?? MPE MUDA, atafika huko! Mpaka sasa kuna chochote kagusa kuhusu TANESCO? Au hata Majaliwa kagusa huko??
Hizi akili zenu sijue Mbowe kaenda nazo Mwanza??
 
Kwani hayo majipu mengineyo anayosifiwa kuyatumbua yalianza awamu yake au yalikuwepo hata kabla. Usikwepeshe msumeno kisa mkono wa mjomba hivyo hakuna haja ya kuogopa kukosoa mapungufu kwa ajili ya ustawi wa taifa.

Kila kitu kina mda Wake, na hilo suala nina uhakika lina subiria tu lijadiliwe bungeni, ndipo hapo sasa msumeno wa upinzani utakapo hitajika. Tusiongelee tu kwa kushabikia, Suala la maendeleo si la UKAWA wala CCM pekeyao, ni la watanzania wote
 
Hawa eti ndiyo wanasiasa wategemewa Tanzania! IPTL imeanza leo hadi hiyo hasara aione leo? Mbona anasema tu pesa ambayo IPTL inalipwa, hasemi bidhaa tunayouziwa?! Mitambo ya IPTL ikizimwa hasemi itapunguza umeme kiasi gani na utaathiri au hautaathiri umeme wetu kiasi gani?
Pole Tanzania nchi yangu hujapata wanasiasa wa upinzani bali una walopokaji ambao wanatafuta sifa kwa Wananchi wako.
Hiyo siyo hoja eti IPTL ilianza leo...kwani wizi bandarini umeanza leo?
Uozo TRA umeanza leo?
Mbona hayo kayashughulikia?
 
1.jpg

Mbunge wa Kigoma mjini kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amefunguka na kusema kuwa Rais John Pombe Magufuli ameliingizia taifa hasara ya bilioni 36 mpaka sasa toka alipochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa Facebook aliandika kuwa kitendo cha Rais Magufuli kushindwa kuchukua hatua juu ya malipo ya IPTL ambayo yanalipwa na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kila mwezi yamepelekea sasa hivi kufikia jumla ya bilioni 36.
"Tshs bilioni 8 kila mwezi TANESCO bado wanalipa IPTL. Rais haijampendeza kumaliza ufisadi huu. IPTL nadhani ni Jipu la Mgongoni (kwa kutumia maneno ya Hidaya wa Richard Mabala ). Rais, kwa kutochukua kwake hatua, ameshaliingizia taifa hasara ya tshs 36 bilioni toka aingie madarakani" aliandika Zitto Kabwe.
Wakati Rais John Magufuli anatimiza siku 100 toka kutangazwa kama Rais Zitto Kabwe alitoa tathimini yake na kugusia sakata la Escrow pamoja na kampuni ya IPTL na kusema kuwa pesa ambazo wamelipwa IPTL/PAP kwa siku 100 tu zingeweza kununua CT Scan kwa hospitali zote za mikoa nchini.
"Mkataba wa IPTL bado unaendelea kunyonya Nchi na Serikali inatazama tshs 8 bilioni zinalipwa Kwa matapeli wa IPTL na PAP kila mwezi.

"Katika siku 100 tangu Rais Magufuli aingie madarakani, jumla ya tshs 30 bilioni zimeshalipwa Kwa IPTL/PAP ambazo zingeweza kununua CT scan Kwa hospitali zote za mikoa nchini.

"Fedha hii ni zaidi ya mkopo ambao Serikali imechukua kutoka Benki ya Dunia ili kujenga ' fly over ' ya Ubungo jijini Dar Es Salaam" Alisema Zitto Kabwe.
SOURCE: MPEKUZI HURU

Akipoteza 36bn wakati huo huo akaokoa 700bn kuna tatizo gani?! Mwacheni mwanaume apige kazi!
 
Back
Top Bottom