jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
- Thread starter
- #161
ungeonesha mfano kwa kujibu hoja yangu katika mistari yake yoteMleta mada unapaswa kukumbuka kuwa, "hoja hujibiwa kwa hoja".
Achana na kudili na Zitto, bali hakikisha unajibu hoja aliyoileta zitto. Kumbuka hoja ni 1.5 trilioni, CAG anaonekana alizikusanya ila hazionekani kutumika kokote. CAG anakiri wazi kuwa, inawezekana zimetumika kwenye matumizi mengine ya serikali, akaishauri bunge lihoji ni wapi zinetumika.
So, jitahidi kujibu hoja. Ukiweza kujibu hii hoja ya Zitto, ukatueleza hizo 1.5 trilioni zimetumika wapi, ninauhakika unaweza sasa ukaja na hoja ya Zitto kuomba radhi, LA sivyo utakuwa hujielewi. Hata hivyo si lazima na wewe uandike chochote kama unajua huna uwezo wa kujibu hoja.
Mwisho: Pambana kujibu hoja kwanza, then later, utapambana na mtoa hoja.