Zitto Kabwe aomba Bunge lisimamishe shughuli zote juu ya Jairo!

Kusafishana ni jadi ya serikali yetu; lakujiuliza mbona Luhanjo hajesema kama barua zinazodaiwa kuandikwa na Jairo kuagiza kutoa pesa, hazikuwa harali??Pia Luhajo kaonyesha dharau kubwa kwa wabunge anaposema Jairo ana haki yakuwashitaki waliotoa hizo tuhuma, kwasababu bunge lina kila haki ya kuhoji na kupatiwa uhakika wa jambo lolote ambalo liko kinyume na maslahi ya Taifa.Hii inaonyesha Luhajo sasa ndiye MKUU WA NCHI!!.

hivi hii nchi ni ya shirika au kakundi ka watu amabao ndo wana hati miliki ya kufaidi hii nchi???kweli mnatesa watanzania kwa matumbo na tamaa za watu ambao hawafiki hata 1% ya watanzania wote??? hivi sisi tunashindwa nini??? sikia niwaambie, watu wamechoka wamesubiri starter tu!!!!!!!

hii nchi inaongozwa na kikundi cha wahuni fulani

Wabunge wetu ni

blogs_zero_3133_911188_poll_xlarge.jpeg

325107_2368726780066_1307341593_2944838_3149221_o.jpg j.jpg

Nyie pigeni kazi kutafuta mkate wenu wa kila siku, mkikaa hapa kuhangaika na Jairo au Pinda au Luhanjo au Ludovic mtamaliza muda wenu buree na msipate lolote la maana. Ngoma ndo ishawekwa uwanjani kazi iliyobaki ni sisi kuicheza au kuikacha lakini hapo hakitabadilika kitu wataendelea kula vyao kwa kwena mbele.. Amkeni kumeshakucha

Wabunge naomba muondoe kabisa uchama ndani ya bunge na muwe kitu kimoja kuondoa udhalilishaji wa bunge na kuburuzwa na watendaji wa serikali, mi binafsi ni mwana CCM na mbishi kutetea chama changu ila kwa hili siko pamoja na mwenyekiti wangu na ninakubali kweli nchi inaendeshwa kisanii! Pamoja na kwamba mimi ni mjumbe wa mkutano mkubwa kabisa wa chama tawala kwa hili kama halitawekwa vizuri basi ni dhahili nitakuwa mstari wa mbele kukiangamiza chama changu! Ili tulekebishe chama chetu I think ni lazima tushindwe kwanza uchaguzi then ndo tukae sawa, maana hata mbegu ili iote lizima ife kwanza.

Nakumbuka Jairo baada ya Shelukindo kutoa hoja hii alisema "Wabunge wa CCM ni Ze comedy" nao wakaja juu sana katika kikao chao cha ndani.
Jee kunaweza kuwa na ukweli kuwa wabunge wa CCM ni sawa na Ze comedy?

Hajakosea ni kweli wabunge wa chama cha magamba ni ze comedy kwani wanaweza kujadili jambo kwa uchungu na sauti za juu lakini mwisho wa yote watamalizia na kusema "Mhe. spika naunga mkono hoja kwa asilimia mia moja"

Mkuu mimi naona Pinda kadhalilishwa sana tu tena sio kidogo leo hii mtu ambaye ulitamka hadharani kwamba ingekuwa uwezo wako ungemfukuza halafu anarudishwa kwa njia zisizoeleweka it's a shame and pity mazee

Sijaona mahala ambapo Waziri mkuu kadhalilishwa na wala sioni sababu ya kufanana na kushawishi kujiuzuru kwake. Matamshi yake hadharani yaliendana na taarifa aliyopokea moja kwa moja toka kwa Mbuge Shelukindo ambayo labda alipaswa kusubiri kwanza hadi uchunguzi utakapo fanyika.
Labda aliichukulia taarifa ile kama ilivyomfikia, na kwa maamuzi ya haraka aliweza kutoa matamshi yale. Hata Mbunge Shelukindo sioni kama ana paswa kuomba msamaha kwani alichofanya yeye ni kuwakilisha barua ambayo kwa njia moja au nyingine aliona haiendani na sheria za kiutendaji.
Hapa tusitafute kushambuliana bali tuangalie sheria inasema je kutokana na maelezo ya barua ile na majibu toka kwa mkaguzi wa hesabu. Je Wizara zinapaswa kukusanya fedha kwa ajili ya kuandaa budget kwa njia ile ? Kwa kifungu gani? Na pia tusiangalie tu ni kiasi gani cha fedha kilichangwa maana hapa naona wanajaribu kujisafisha kwa kutaja kiasi kidogo cha fedha kilichochangwa maana hatuwezi jua. Na kama fedha nyingine zilikuwa njiana ?

ukiona watu wazima na akili zao wanafanya hivi kwa mwizi ujue kuna tatizo kubwa

hivi hawa wanatumia akili zao za kawaida kweli au za kutengenezwa? usijekuta watu wazima wameshikishwa bahasha ili wasukume gari ionekane kana kwamba Jairo anakubalika!
mungu tusaidie na janga hili.

ukiona watu wazima na akili zao wanafanya hivi kwa mwizi ujue kuna tatizo kubwa

Ninawasiwasi na dhamira za hao wanaosukuma hilo gari kama ni zakutoka moyoni au ndo nidhamu za uoga?....

Ina maana Pinda alipokua anatoa kauli ya kutaka kumwadhibu Jairo kama angelikua na uwezo alikua hajui kuwa katika wizara mambo ya kuandika barua katika taasisi za wizara na kuomba fedha za kusaidia bajeti ipite ni mambo ya kawaida hivyo basi jambo hilo lililoibuliwa na Shelukindo lilikua halina harufu yoyote ya rushwa!?

Tuamini kwamba Pinda alisahau,hajui huo utaratibu,lakini Waziri wake pamoja na katibu mkuu wa wizara husika wanaujua huo utaratibu! Kweli hii ni TANZAGIZA!

Back
Top Bottom