Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,233
ZITTO KABWE ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA UCHOCHEZI.
Tumejulishwa na polisi kwamba Kiongozi wa Chama ana mashtaka ya kutoa lugha ya uchochezi katika hotuba zake za kampeni katika kata ya Isagehe Jimbo la Kahama Mjini.
Polisi wanasema Zitto Kabwe amemchonganisha Rais na wananchi kwa kusema kuwa "Rais anakula bure na kulala bure ndio maana hajali hali ngumu ya maisha ya wananchi wakati huu wa balaa la njaa"
~Mtemelwa