Elections 2010 Zitto Kabwe anaongoza Kigoma Kaskazini

MAKULILO

Member
May 30, 2010
84
94
Tunavyoongea sasahivi Mh Zitto Kabwe ameshinda jimbo la Kigoma Kaskazini. Akiwa anahojiwa na Bongo Radio sasahivi amethibitisha kuwa CHADEMA kwa upande wa ubunge inaoongoza kati 9 kati ya 11 hadi sasa, na kata 2 ndio zimebaki zinasubiriwa. Hivyo kata mbili haziwezi kubadili ushindi wa kata 9, hivyo tayari Mh Zitto ni Mbunge mchaguliwa hadi sasa.

Unaweza pia kuangalia kwenye facebook profile ya Zitto Kabwe ambayo amedokeza kuwa ameshinda huko Kigoma Kaskazini.

MAKULILO, Jr.
 
Mkuu Zitto hongera. Sasa sina shaka kwani moto wa pale mjengoni upo pale pale.
 
hongera mkuu zito kazi inaendelea na mungu akitujaalia tunaunda serikali....
 
ni wazi Kabwe alikuwa ashinde, nilikuwa nasubiri figures tu.
 
Sipati picha nikiona bungeni watu wafuatao sijui moto wake utakuwaje MNYIKA,MDEE,ZITTO,MPENDAZOE,SHIBUDA,SUGU na wengineo hapatoshi mjengoni
 
sipati picha nikiona bungeni watu wafuatao sijui moto wake utakuwaje mnyika,mdee,zitto,mpendazoe,shibuda,sugu na wengineo hapatoshi mjengoni

mdee, rwakatare, vicent nyerere, mbowe, ...du mrema kapita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom