Zitto Kabwe amuomba Rais Samia amuachie Mbowe

Zitto ni mjinga kama wajinga wengine,anashiriki uchaguzi huku akijua wazi sheria na kanuni za uchaguzi ni mbovu.

Sijawahi kumwamini Zitto hata siku moja ni mwanasiasa wa hovyo na ni hasara kubwa taifa kuendelea kuwa na aina hii ya wanasiasa.
Kumbe akina lissu na chadema ni wajinga pia kama wengine maana akina lissu na chadema wao ndo walishiriki hasa ule uchaguzi mkuu ambao wanadai ndio una vitimbi zaidi kuliko chaguzi zingine za wabunge na madiwani.

H
 
Huyo analeta porojo tuu.
 
Mbona miaka yote CDM na vyama vingine walikuwa wakishiriki uchaguzi huku wakijua kabisa tume sio huru na kanuni ni mbovu na kura zinaenda kuibiwa....TL alishiriki uchaguzi 2025 huku akijua kabisa anakwenda kuibiwa kura na tume sio huru..
Na atarudi kugombea 2025
 
MATAGA hamna akili.Kwa mujibu wa katiba yetu Rais hana mamlaka ya kumsamehe mtuhumiwa ambae kesi yake ipo mahakamani.

Rais ana mamlaka ya kumsamehe mtu ambae ameshahukumiwa na anatumikia kifungo tayari.

Sasa wewe umesikia huko Rais mataputapu anadai kuwa anataka amsamehe Mbowe nawe ukabeba kama lilivyo.Yule hana akili, achana nae.Yule ni kichwa cha mwendawazimu kinachotembea.
 
Umeshadesa material ya Belgium ukaja hapa kifua mbele kama mtaalamu kweli vile anyway tunachofurahi ni kuona kila mtu anakuwa huru ku express mawazo yake pasipo vitisho vya aina yoyote.
 
Back
Top Bottom