Zitto Kabwe amkaribisha msanii Wakazi kujiunga na ACT-Wazalendo

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,393
3,234
Hii imekuja ikiwa ni siku moja tangu msanii huyo kusema kuwa anakubaliana na sera madhubuti za ACT Wazalendo. Msanii wakazi alieleza hayo alipokuwa anahojiwa na kipindi cha XXL cha Clouds FM jana.

IMG_20200528_133524_135.jpeg
 
Inavyoelekea wewe unalipwa fedha nyingi sana huko ccm za kuja kutukana watu huku mitandaoni!
Wanalipwa buku 7 mkuu ndio kazi yao maalumu

Wameona sisiemu haikubaliki kwa

1. Wafanyabiashara

2. Wakulima

3. Wafanyakazi

So wameamua kuajiri vijana kwa kuwapa smartphones wawe wanacomment kila post Jf ; wapo tweeter; Fb; na mitandao mingine kumsifia Lifuguma
 
Back
Top Bottom