Zitto Kabwe alitaka kumpindua Mbowe pale CHADEMA lakini Marando akawahi kumshughulikia

Aliyemdanganya Zitto kuasisi uasi huo alikuwa rafiki yake mkuu, mwanazuoni na mwana usalama ndugu Kitila Mkumbo, mambo yalivyobumburuka Kitila akarudi kwake CCM kama mnavyoona jamaa sasa hivi anakula kiyoyozi 24/7.

Zitto na yeye kwa sababu ya aibu ya kiubinadamu akaaamua kuanzisha chama chake, laiti angefuata ushauri wa wazee wakati huo kwa sasa who knows may be angekuwa Mwenyekiti wa chama sasa hivi.

Kipindi hicho Dr. Slaa alikuwa mtiifu wa chama 100% na Katibu mkuu Jembe aliyeasisi CDM ni msingi kabla hajapatwa na maswahibu ya kidunia.
 
Zitto msaliti katika uchaguzi wa 2010 alikuwa akipeleka mikakati ya Chadema kwa Kikwete na yule fisadi Rostam fisadi. Pia yeye Kitila na yule mwigamba walikuwa wana mikakati yao ambayo ilikuwa haiendani na ile ya chama.
Si yupo kazini lakini?kwani nyie mlikuwa hamjui?tangu unamfaham ni lini umwona hata amekamatwa akalala ndani.
Yule ni kazi maalum anawachora tuu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nilikuwa na article iliyoandikwa na Mwigamba kuhusu usaliti wa Zitto wakati wakiwa Chadema sijui niliipotezea wapi. Hata Mwigamba alianza kumuonya Zitto kuhusu usaliti wake ndani ya Chadema lakini hakusikia. Zitto kama sikosei December 2012 alikuja humu na kuanzisha uzi wa kuomba samahani kwa matendo yake ndani ya Chadema na kuahidi ushirikiano mkubwa na Viongozi wenzake.

Kama uijuavyo JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY kulikuwa na maswali ya msingi sana ambayo wadau humu walimuuliza Zitto lakini akayakwepa kuyajibu kwa sababu azijuazo mwenyewe labda alihofia kuanika zaidi usaliti wake hadharani.
Baada ya miezi michache ule uzi ukafutwa nadhani Zitto hakupenda uendelee kuwepo.

Si yupo kazini lakini?kwani nyie mlikuwa hamjui?tangu unamfaham ni lini umwona hata amekamatwa akalala ndani.
Yule ni kazi maalum anawachora tuu
 
Zitto ni mdini sana kwenye siasa,hajawahi kumkosoa Rais wa kiislam au kiongozi muislam.

He is hypocrite and less intelligent with primitive political calculation...CCM needs people like him in snitching biz
Kama alivyo mrema na rais wa kiislam
 
Huyo Zitto ni snitch hatari.

Yeye kwake kila mtu ni mmbaya tu,Magufuli alikua nae mbaya kwake,Mbowe mbaya.

Kikwete walielewana sababu ya kuwa dini moja na kupewa ulaji mbalimbali.

Kwahyo Magu kukosolewa na mkristo ndio sahihi ila Muislamu akikosoa basi ni udini..!???
 
Acha UDINI wewe...

Inaelekea wewe ndo mdini...

Huyo Magu ni wangapi wamemsemanga?! Au akisemangwa na Wakristo, sawa; lakini akisemangwa na Waislamu, ni UDINI?

Na unaposema "Magu kwake, mbaya... Mbowe, mbaya" halafu unahusisha dini yake na mahaba yake kwa JK! Ina maana unataka kusema alimuona Mbowe mbaya kwa sababu ya dini yake, au?!

Kama kutaka kumpindua ndo sababu ya kuamini anamuona Mbowe mbaya, ikichangiwa na dini yake! Na wale akina Kitila Mkumbo na Samson Mwagamba? Au wao kufanya mapinduzi ni sawa kwa sababu ni wa dini moja, lakini huyu mwingine kasukumwa na udini?

Halafu watu aina yenu ndo mmejaa hapa JF...

Madarakani akiwepo asiye wa dini yenu, mnakimbilia kuleta hoja za udini! Akija wa dini yenu, mnageuza gia angani, mnaanza kuhubiri ukabila!! Hata waliokuwa wanaoongoza kusema Magufuli ni Mkabila, ni wale wale waliokuwa wanasema JK ni mdini... baada ya kuja wa dini yao, wakaamua kuleta issues za ukabila!!

Shame on y'all
bless over bless
 
Mbowe alikuwa anang'ang'ania madaraka. Uking'ang'ania madaraka lazima watu watafute mbinu mbadala.
 
Aliyemdanganya Zitto kuasisi uasi huo alikuwa rafiki yake mkuu, mwanazuoni na mwana usalama ndugu Kitila Mkumbo, mambo yalivyobumburuka Kitila akarudi kwake CCM kama mnavyoona jamaa sasa hivi anakula kiyoyozi 24/7.

Zitto na yeye kwa sababu ya aibu ya kiubinadamu akaaamua kuanzisha chama chake, laiti angefuata ushauri wa wazee wakati huo kwa sasa who knows may be angekuwa Mwenyekiti wa chama sasa hivi.

Kipindi hicho Dr. Slaa alikuwa mtiifu wa chama 100% na Katibu mkuu Jembe aliyeasisi CDM ni msingi kabla hajapatwa na maswahibu ya kidunia.
Dr. Slaa hadi leo ni mwanasiasa mzuri kuwazidi nadhani wapinzani wengi kama siyo wote na pia siyo kigeugeu kama wengine.
 
Hivi Marando aliwahi kuwa Chadema? mimi nafikiri hakuwahi kutoka NCCR!
Marando ni Chadema mpaka sasa, kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 alisema yeye atangaza matokeo ya Chadema ya Urais ndio amepotea na amepigwa na stroke mpaka leo, ukisikia buriani usishangae.

Alianza kufa partner wake wakili msomi Moses Maira, kampuni ikabaki kwa Marando akajiunga na kina Mnyele kama sikosei ila kwa sasa Marando ni light off nadhani kampuni yao ya uwakili itakuwa inaendeshwa na partner wake.
 
Zitto msaliti katika uchaguzi wa 2010 alikuwa akipeleka mikakati ya Chadema kwa Kikwete na yule fisadi Rostam fisadi. Pia yeye Kitila na yule mwigamba walikuwa wana mikakati yao ambayo ilikuwa haiendani na ile ya chama.
Zitto alikuwa akiwasiliana na aliyekuwa Deputy DG wa Tiss Kachero Jack Nzoka.
 
August 2010 alikuwa akiwasiliana pia na Kikwete kwa kwenda Ikulu na Rostam Aziz kupitia simu yake ya mkononi. Alipoulizwa kuhusu namba ile iliyokuwa ikiongea na Rostam alikiri ni namba yake lakini alikuwa hajaitumia kipindi kirefu sana. Alipoulizwa simu ile kampa mtu anaitumia akajibu hajampa mtu. Akaulizwa je simu hiyo imepiga namba ya Rostam yenyewe. KIMYAAAA!!!! Namba hiyo iliongea na namba ya Rostam mara tatu.

Ahahaha Zitto mido kisheti!!
 
Sijawahi kumuamini Zitto tangu mwaka 2010, na ndio maana shetani nduli alipoingia kutawala Tanzania Zitto hajawahi kuenjoy kazi ya double Agent.
 
Hakuna nidhamu mbaya katika siasa kama tabia ya kupindua uongozi halali kwa mbinu za " porini"

Ashukuriwe mzee Marando, Dkt. Slaa na timu yao ya intelejensia pale CHADEMA maana Mapinduzi mengi huendaga na umwagaji damu.

Hadi leo haifahamiki kwanini Zitto Kabwe alitaka kumpindua aliyekuwa rafiki yake mkuu pale Ufipa mh Mbowe.

Au ndio mambo ya akina Sankara?
Nakubali Kuna Jambo watu hawajui,jinsi mh Rais SSH anavyopokea taarifa kila siku za Nchi ndivyo CHADEMA wanavyopokea taarifa KILA siku ,Jambo moja tu ni kuheshimiana
 
Hakuna nidhamu mbaya katika siasa kama tabia ya kupindua uongozi halali kwa mbinu za " porini"

Ashukuriwe mzee Marando, Dkt. Slaa na timu yao ya intelejensia pale CHADEMA maana Mapinduzi mengi huendaga na umwagaji damu.

Hadi leo haifahamiki kwanini Zitto Kabwe alitaka kumpindua aliyekuwa rafiki yake mkuu pale Ufipa mh Mbowe.

Au ndio mambo ya akina Sankara?
Ile ilikuwa project ya kachero Jack Zoka
 
Back
Top Bottom