Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo kilianzishwa na watu watatu tu; Mimi, Kitila Mkumbo na Mwanaharakati mmoja wa kike

Kwa upande wa kuanzishwa kwa chama chake amesema chama chao kilianzishwa kutokana na mchango mkubwa wa Professor Kitila Mkumbo (ambaye amesema ndiye mwandishi wa katiba ya ACT-WAZALENDO), yeye mwenyewe (Zito) na Mwanaharakati mmoja mwenye jinsia ya kike ambaye aligoma kumtaja!.
Huyo atakuwa kutoka GREEN belt
 
Siyo Nilipofukuzwa nilitamani kujiunga NCCR hapana kuwa mkweli Mr. Zitto sema hivi nilipotaka kuupindua uongozi halali wa CDM uliokuwepo kikagundulika na ndipo nikatamani kujiunga NCCR Mageuzi kuficha aibu.
Hahahaha.. kwa hiyo Zito alitaka kuwa Mwanamapinduzi aka Muasi
 
ACT kilikuja ku neutralize nguvu ya CHADEMA 20
15!!Nadhani kitakuwa chama kikuu cha upinzani miaka ijayo!!!Mbowe atakapostaafu uenyekiti CHADEMA zito atawika rasmi!!!
 
Back
Top Bottom