Zitto Kabwe aanza majukumu ya TCD

Mnyika awake picha ya kiongozi wajuu kabisa sio anajiweka na mfremu wakifreemasneri...
Tatizo zitto anageukagageukaga sana haaminiki kiukweli
 
Ofisi ya Katibu Mkuu wa CHADEMA imekaa kishamba sana! Ndo maana kumbe CHADEMA hamna mikakati ya maana! Nchi inaweza kuchukuliwa na watu wanaopanga mikakati katika mazingira ya kishamba namna hii!
Halafu na hiyo picha iliyowekwa kwenye frem ya pembetatu ina ashiria nini? Ni Freemason au?
Portrait speaks a thousand words! Chinese proverb!
Wanasiasa wa upinzani Tanzania wapuuzi sana! Angalia hata dress code zao! Zero kabisa!
Hawa ndo wapewe Nchi watuongoze! Mtasubiri sana!
We jamaa ni kiazi aisee
 
Duh! Mbona una hasira hivi bro? Ahahaha sema sikujua kama dogo muabudu shetani
 
socially medias

FB_IMG_16301791229739402.jpg
1.Mnyika alitakiwa naye atoe kiwiko cha mkono wa kushoto (dalili ya udhaifu).
2.Hiyo frame ya picha ukutani nyuma ya John, design yake inatoa tafsiri isiyo ya kawaida na inaibua maswali mengi ya kiuchunguzi.
3. Sehemu ilipowekwa AC inashawishi ufuatiliaji wa weledi wa fundi aliyeisimika mahali hapo
4. Zitto ameacha kufanya mazoezi ama ameacha kufutatilia mpagilio wa baadhi ya mambo katika ushibaji.
5. Kama hii ni ofisi ya katibu mkuu wa chama kuna tatizo na ndiyo maana mgeni kulazimika kuvaa barakao muda wote akiwa kwenye ofisi hiyo.
=====
Karibu tudadavue picha.
 
Halafu na hiyo picha iliyowekwa kwenye frem ya pembetatu ina ashiria nini? Ni Freemason au?
Portrait speaks a thousand words! Chinese proverb!
Au yawezekana mwenye picha hajui maana ya frame yenye design ya namna hiyo( udhaifu)

Kuna harufu ya mgeni kwenda kumuumbua mwenyeji.

Siku si nyingi twaweza kuona picha za ofisi za chama cha mgeni!
 
Ofisi yangu tu hapa Mwanduhitinje ni nzuri kuliko hiyo ya CHADEMA iliyokwisha pokea ruzuku na misaada kwa mabilioni! Halafu mtu ana matumaini eti hao wabadhirifu wakichukua Nchi eti hali itaboreka!
Ofisi yao tu haina hadhi, ebu kama kuna hata balozi wa Nchi yoyote aliwahi kutembelea ofisi za CHADEMA nikumbushwe!
Hao ni wahuni na hawana mipango yoyote ya maana ya kuongoza Nchi hii zaidi kuweka kijiwe hapo cha kupigia ruzuku na misaada basi.
 
1.Mnyika alitakiwa naye atoe kiwiko cha mkono wa kushoto (dalili ya udhaifu).
2.Hiyo frame ya picha ukutani nyuma ya John, design yake inatoa tafsiri isiyo ya kawaida na inaibua maswali mengi ya kiuchunguzi.
3. Sehemu ilipowekwa AC inashawishi ufuatiliaji wa weledi wa fundi aliyeisimika mahali hapo
4. Zitto ameacha kufanya mazoezi ama ameacha kufutatilia mpagilio wa baadhi ya mambo katika ushibaji.
5. Kama hii ni ofisi ya katibu mkuu wa chama kuna tatizo na ndiyo maana mgeni kulazimika kuvaa barakao muda wote akiwa kwenye ofisi hiyo.
=====
Karibu tudadavue picha.
Jadili hoja nasio mbwembwe zingine
 
Mnyika hakuna kitu kabisa kwenye ubunifu wa kiuongozi zaidi ya kupata " A" za kukariri darasani pale Maua Seminary!
Ona tangu amekuwa Katibu Mkuu, CHADEMA imechoka na haina vision kabisa! Kila mtu anaongea lwake, Msigwa kule, Lema kule na Heche kule.
Huwezi kusema hawa wanawaza pamoja na mtu anaweza kusoma thinking pattern ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Nchi Nzima kirahisi sana!
Mfano Ole Sabaya alipoanza kusikilizwa kesi yake pale Arusha wote akili walipeleka kule Arusha!
Baada ya Mbowe kupigwa Sero kwa kesi ya ugaidi wote akili zimehamia huko! Hawana kitu kabisa!
CHADEMA haina mashiko kabisa mikoani na imebaki kushabikiwa na watu wenye hasira, chuki, misongo ya mawazo kutokana na ugumu wa maisha basi !
Huwezi kusema with certainty kwamba CHADEMA wana mkakati huu wa kuwapeleka mahali , HAKUNA.
 
Back
Top Bottom