Zitto jiandae kwa mashambulizi zaidi Mjengoni

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
38,256
2,000
Mara baada ya wewe ku-post ulicho-post facebook juzi,nilijua tu utashambuliwa kama mpira wa kona na hiki ndio kimeanza kujidhihirisha sasa na mashambulizi haya huenda yanapangwa na watu maalumu kwa kazi maalumu.

Nachukua nafasi hii kukuomba ujiandae kisaikolojia kwa mashambulizi makali ya kupanga huko mjengoni na ujue ukishindwa kuji-control tu basi nawe utapigwa "ban" usiingie kwenye hilo jumba kwa muda ambao wao wataona unafaa. .

Hoja yangu hapa ni kuwa,pamoja na mashambuli haya, bado unaweza kuwa provoked huko Mjengoni kwa makusudi kabisa ili hasira zikupande alafu utoe lugha ya kuudhi kisha wakushughulikie.

"Tanzania nilikupenda sana ila Mafisadi walikupenda zaidi."
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,683
2,000
Zitto katika siasa ni sawa na Mrisho Ngassa katika soka la bongo,hana jipya
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
30,519
2,000
Zitto katika siasa ni sawa na Mrisho Ngassa katika soka la bongo,hana jipya
Mkuu katika watu wenye uwezo wa kujenga hoja na ikaeleweja ni Zitto. Pia ni mtu anayemudu mijadala huru, sasa fananisha na mkuu wetu. Toka umemjua kuna siku hata moja uliwahi kumuona kwenye mijadala huru? Umewahi kumuona akijenga hoja zaidi ya kuhutubia tena kwa kiburi cha madaraka? Yeye zaidi ya amri na kebehi hana uwezo wa ushawishi ndio maana kwake mikutano ya vyama vya siasa ni shida.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,683
2,000
Mkuu katika watu wenye uwezo wa kujenga hoja na ikaeleweja ni Zitto. Pia ni mtu anayemudu mijadala huru, sasa fananisha na mkuu wetu. Toka umemjua kuna siku hata moja uliwahi kumuona kwenye mijadala huru? Umewahi kumuona akijenga hoja zaidi ya kuhutubia tena kwa kiburi cha madaraka? Yeye zaidi ya amri na kebehi hana uwezo wa ushawishi ndio maana kwake mikutano ya vyama vya siasa ni shida.
Mkuu kama nakuelewa hivi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom