Zitto in US for international visitor | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto in US for international visitor

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BAK, Apr 19, 2008.

 1. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,204
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  to Kigoma North MP Zitto Kabwe, who is travelling to America on the prestigious International Visitor Program: Leadership Development for Young Political Leaders.(Photo: Courtesy of US embassy)

  Zitto in US for international visitor...

  2008-04-19 09:41:12
  By Guardian Reporters

  Kigoma North MP Zitto Kabwe is heading to the US this Sunday to take part in a three-week five cities programme on Leadership Development for Young Political Leaders.

  The prestigious international visitor leadership programme is run by the US State Department on behalf of the American people.

  A press statement issued yesterday by US embassy in Dar es Salaam said during his visit, Kabwe, who is also Chairperson of the Parliamentary Standing Committee on Public Investments, Parastatals and Government Institutions, will discover the dynamic engagement of youths in the US political system and how the society encourages grassroots activism and accountability.

  ``More specifically, his programme will focus on the activities surrounding the 2008 US presidential campaign and other elections at the state and local level,`` the statement said.

  Kabwe will be joined by 25 other young political leaders from Barbados, Bosnia-Herzegovina, Bulgaria, China, Ethiopia, Germany, Hong Kong, India, Indonesia, Israel, Jordan, Lebanon, Lithuania.

  Others will be from Mexico, Moldova, Peru, Philippines, Rwanda, Serbia, Swaziland, Sweden, Thailand, Uganda, the West Bank and Zimbabwe.

  According to the US Embassy, Kabwe will begin his study tour in Washington, D.C., and will meet with personnel at the two major political parties, in addition to key non-governmental organisations such as America`s Promise (led by Colin Powell), American Council of Young Political Leaders (ACYPL) and the Center for Civic Education; and they will take a tour of the capital.

  Participants will also receive an introductory orientation to American culture, an overview of federalism, and the structure of the US Government and political system.

  From Washington, the participants will travel to New York where they will focus on youth voting and political participation.

  Commenting on the trip, Kabwe said the programme was critical for his political career and will add value to his parliamentary work thereby delivering better services to the people of Kigoma and Tanzanians at large.

  ``I hope to learn about the US and at the same time inform others about Tanzania and build a strong network of global contacts. To me, the most important challenge we must overcome is to end single party dominance in our country. I will learn ways and means to strengthen Tanzania`s democracy and democratic institutions,`` he said.

  SOURCE: Guardian
   
 2. A

  Ant Ru Member

  #2
  Apr 19, 2008
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Congratulation BRo. Zitto

  Keep it up, and I think that guys from US embasy selected you for your competency and not otherwise.
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Emdelea kukandamiza Zitto .Hadi kieleweke huko mbeleni .
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umechaguliwa kutuwakilisha vijana wa TZ; Ukirudi andaa makongamanoya wazi ya nchi nzima kuelewesha ni jinsi gani tunaweza kusonga mbele kutoka hapa tulipokwama kama vijana; hilo linawezekana na vijana tutakuwa nyuma yako kwa support; Zitto Bravo-Chadema bravo
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  yah pata uzoefu na ananafasi nzuri ya kuwa kiongozi wa nchi kama CV haitachafuka mbeleni.
  Kwa sasa fanya kadiri uwezavyo na nafasi yako kwa nchi yako Mhe. by the way mpaka sasa ni mfano bora kwa vijana .Tuko pamoja!
   
 6. P

  Paparazi Muwazi JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2008
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Marekani ina mkakati wa kuwateka vijana wa CHADEMA, pengine imeshanusa na kuona CHADEMA inaelekea kuchukua madaraka. Na kama ikichukua madaraka wanajua kuwa viongozi hawa ndio watakuwa viongozi wa Tanzania. Mtakumbuka kuwa miaka michache iliyopita walimchukua Mnyika kwenye ziara kama hii.http://www.chadema.net/habari/misc/misc_9.html

  Lakini wasichojua tu ni kwamba usalama wa Taifa wa Tanzania unafuatilia kila hatua za vijana hawa. Na jambo lingine wasililolijua tu ni kuwa CCM haiwezi kuachia madaraka. Inaelekea bado hawajajifunza toka kwa Zimbabwe. Waacheni tu waendelee kupoteza fedha zao kuwasafirisha hawa vijana wa CHADEMA kwenda kutoa matongotongo. Halafu vitoto vyenyewe vyote viwili ni vijamaa na vi-anti America. Endeleeni tu kuwapeleka mtengeneze wakina Osama wengine. Inaekea Marekani wamesahau kuwa hata Bin Laden walimlea wenyewe.

  PM
   
 7. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2008
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hawa usalama wa Taifa mnawapa Bichwa tu.
  Hawana lolote zaidi ya kulinda matumbo ya mafisadi, na wao wenyewe kujishibisha na (vijisenti).
  Hawana uwezo wala nyenzo za kumfuatilia mtu hapa Marekani labda wabebwe na CIA.

  Halafu ndugu yangu inaelekea hujui Marekani inaendeshwa vipi.
  Siasa ya nje ya Marekani ndo kikwazo kwa mataifa yote duniani.Lakini mambo yote yanavyoendeshwa ndani ya USA kama ya Utawala Biashara na uchumi wenzetu wako mbali mno ni mahali pa kuja kujifunza.

  Huyo Osama Bin Laden aliletwa lini hapa UESIEI kwa ajili ya semina kama ya Zitto?

  Au unaandika tu kwa vile una access ya Internet?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Apr 19, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,417
  Trophy Points: 280
  Usalama wa taifa wa nchi za Afrika is a joke.
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,813
  Likes Received: 83,204
  Trophy Points: 280
  That is the truth, maybe we should change the name to usalama wa mafisadi.
   
 10. M

  Mswahili Old Acc JF-Expert Member

  #10
  Apr 20, 2008
  Joined: Sep 27, 2006
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  so what? kitu gani cha ajabu.
   
 11. M

  Mutu JF-Expert Member

  #11
  Apr 20, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Ebu ongea kwa kitimilifu kwamba marekani itatufanya nini tukiwa na viongozi wenye mausiano na wao?Hawa waliopo hawana mausiona na marekani?kama wanayo marekani umefanya nini kwetu.Naomba majibu ili tuweze kuangalia hizo tahadhari unazotoa.
  Viongozi wetu ndio wanatuua, ndio ovyo !
   
Loading...