Zitto hataki urais wala ubunge, zitto anataka uwaziri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto hataki urais wala ubunge, zitto anataka uwaziri!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jaffary, Sep 30, 2012.

 1. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Nimekuwa nafuatilia maoni ya wananchi juu ya wabunge kuwa mawaziri, wengi wanapinga hili na hivyo kuna uwezekano katiba ikatenganisha hivi vyeo! Mh. Zitto ameshaliona hilo na target yake siyo urais kama wengi wanavyodhani bali ni uwazir ndio maana anasema hatagombea tena ubunge!
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]
  Naibu Katibu Mkuu wa Chadema na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe akiwahutubia wananchi na wanachama wa chama hicho waliohudhuria katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana Karatu mjini Mkoani Arusha.
  AMEZUNGUMZIA MAMBO MAKUU MATATU

  1.Taarifa ya Kamati ya Ngwilizi(Kutaka taarifa iwekwe Wazi)
  2.Hoja ya mabilioni yaliyofichwa Uswisi na
  3.Ulazima wa kuindoa CCM madarakani mwaka 2015 ili CHADEMA iongoze nchi na ktutokomeza umaskini kwa kupambana na ufisai na kukuza uchumi wa vijijini.

  KWENYE MKUTANO HUO,MH:ZITTO KABWE ALIMABATANA NA WABUNGE WENGINE
  TUNDU LISSU
  JOSHUA NASSARI
  ROSE KAMILI
   
 3. Jaffary

  Jaffary JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2013
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 758
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  hata yeye mwenyewe najua anafahamu fika kwamba hajakomaa kushika madaraka ya uraisi
   
 4. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2013
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Poa tumekuelewa.!
   
Loading...