Zitto: Gharama ya Kitambulisho cha Taifa kupanda kutoka shilingi 17,000 mpaka kufikia shilingi 26,000 kuna giza nene

Mbona gharama hazisumbui hiyo pass watu walikuwa wakiipata kwa mlango wa nyuma kwa pesa ya juu na walimudu nini sasa mnalia lia na wasafiri ni wale wale nani kasema wanahitaji kutetewa!
Hahaha hahahaha maajabu hayaishi hapo lumumba
 
Back
Top Bottom