Zitto: Gharama ya Kitambulisho cha Taifa kupanda kutoka shilingi 17,000 mpaka kufikia shilingi 26,000 kuna giza nene

Mbona gharama hazisumbui hiyo pass watu walikuwa wakiipata kwa mlango wa nyuma kwa pesa ya juu na walimudu nini sasa mnalia lia na wasafiri ni wale wale nani kasema wanahitaji kutetewa!

Ni aibu wakati mnatumia mpaka risasi kuhakikisha watu hawawezi kuongea na kukosoa ili kujenga taswira kwamba hii ni serekali adilifu. Ni suala la muda tu kwani ukweli unazidi kuwa wazi. Hata JK miaka yake miwili ya mwanzo alikuwa anasifia ile mbaya, japo yeye hakutumia mabavu ya waziwazi kama huyu. Lakini naanza kuona serekali hii ikielekea kulekule kwani ukosoaji wa wazi unaanza kuonekana. Na hii tabia ya kutumia mabavu ya waziwazi kufunga midomo wakosoaji ndio itakuwa kitanzi cha serekali hii hapo muda mfupi ujao.
 
Ha ha ha, get lost with your nursery school English. You won't impress anyone.
Am not here to impress people how to write appropriate English words but to challenges those(including u) who have low thinking capacity.Dont outskirt frm our contentious discussion.Kindly advise you not to act and think llike secondary students.
 
Why do you write broken English?
 
Zitto amehoji kwa kirefu juu ya kupanda kwa gharama hizo katika ukurasa wake wa facebook na pia amegusia gharamaa za pasi za kusafiriia za kielekroniniki na kudai kuwa huko teundako kuna giza kuliko tutokako.

=========

Gharama za kitambulisho cha Taifa yapanda kutoka TZS 17,000 mpaka TZS 26,000

Mwaka 2016 Serikali ya awamu ya 5 iliwashitaki watendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa ( NIDA ) kwa sababu gharama za kutengeneza kitambulisho zilikuwa kubwa mno.

Kamati ya PAC imekuta kwamba menejimenti mpya iliyopewa kazi ya baada kuwatumbua kina Dickson Maimu iliingia mkataba mpya na mkandarasi na kupandisha bei ya kitambulisho kwa shilingi 9,000 zaidi hadi kufikia TZS 26,000 kwa kitambulisho kimoja.

Mbunge wa Tarime vijijini ndg. John Heche ameibua jambo hilo Bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani hakuweza kutoa majibu ya kutosheleza.

Ni dhahiri juhudi za kuficha madudu ya Serikali ya awamu ya 5 hazitafanikiwa na kashfa za ufisadi za Serikali ya awamu ya 5 zitakuwa na madhara makubwa kwa Serikali kuliko inavyofikiriwa.

Jana Zimezinduliwa pasi mpya za kusafiria ambazo tunaambiwa zimeokolewa zaidi ya shilingi 250 bilioni zilizotaka kupigwa. Taarifa kutoka ndani ya Kamati ya PAC inaonyesha kuwa e-passport ni eneo moja tu la mradi wote na hiyo gharama ya USD 57m ni ya eneo moja tu. Kwamba maeneo mengine kama ya e-visa, e-immigration services, e-border nk yana gharama zake. Nataraji CAG atafanya ukaguzi wa manunuzi ya mradi huu wa pasi za kusafiria.

Huko tuendako, kuna giza zaidi kuliko tutokako

Magufuli anayo historia ya Ufisadi ambayo hutumia nguvu kubwa mno kuzima watu wasihoji...hata kwa gharama ya Uhai wa Tundu Lissu...lakini naamini hatimaye atanasa tu...ndege mjanja hunasa tundu bovu...sembuse huyu ndege mshamba na mkurupukaji!
 
Why do you write broken English?
What you mean by broken English?Dont use much
time to revisit your primary english teachers.English like other anguages is not static,it grows.Leave out your premature vocabularies,take time to read as many books as you can.It is my hope that will help to improve your prematurely understanding at English language.
 
What you mean by broken English?Dont use much
time to revisit your primary english teachers.English like other anguages is not static,it grows.Leave out your premature vocabularies,take time to read many books as you can.It is my hope that will help to improve your prematurely understanding at English language.
Andika kwa Kiswahili wewe kilaza. Usitake kulazimisha mambo usiyoyaweza.
 
Andika kwa Kiswahili wewe kilaza. Usitake kulazimisha mambo usiyoyaweza.
Ignorance is critical sin.I have never seen such a coward and conservative guy like you.Your interest is not on issues but common mistakes.Take a good sleep Mr local teacher.
 
Ni aibu wakati mnatumia mpaka risasi kuhakikisha watu hawawezi kuongea na kukosoa ili kujenga taswira kwamba hii ni serekali adilifu. Ni suala la muda tu kwani ukweli unazidi kuwa wazi. Hata JK miaka yake miwili ya mwanzo alikuwa anasifia ile mbaya, japo yeye hakutumia mabavu ya waziwazi kama huyu. Lakini naanza kuona serekali hii ikielekea kulekule kwani ukosoaji wa wazi unaanza kuonekana. Na hii tabia ya kutumia mabavu ya waziwazi kufunga midomo wakosoaji ndio itakuwa kitanzi cha serekali hii hapo muda mfupi ujao.
Ni uoga mlijivika na kukosa hoja katika awamu ya 5 ndio inayopelekea kila kukicha kulialia kusiko na kikomo!
 
Ni uoga mlijivika na kukosa hoja katika awamu ya 5 ndio inayopelekea kila kukicha kulialia kusiko na kikomo!

Katika awamu ambayo ni rahisi kujenga hoja ya siasa za upinzani ni sasa. Shida tu ni usalama wako. Na sasa hivi ccm mnavyolazimisha kukubalika kisha mkiona wengine wanakubalika mnajaa nongwa ndio hapo matumizi ya silaha yanapotamalaki.
 
Hili suala la kitambulisho cha taifa nasikiaga tu kwenye vyombo vya habari.kuna wakati nilisikia vimefika hapa kwetu sekei arusha lakini ukiniuliza zoezi limeishia wapi sina jibu.nasikia tu hawa kachubaiz wenye asili ya asia wanavyo.hapo ndo nachoka kabisa.
 
Kitambulisho cha taifa from 17 elfu to 26 elfu. Passport kutoka 50 elfu had 150 elfu. Hakika haya ni maendele. Hapa kazi tu.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom