Zitto, Deo Filikunjomba na Nape watakuwa kwenye Jahazi jioni hii

Heee.............hapa jf pana mambo!.............yaani mtu ananishauri nisikilize clouds redio ya mafisadi na wanafiki wa nchi hii?.....nipe ushauri mwingine tafadhari lkn sio kusikiliza clouds
 
hebu record then utupie hapa kwani huku clouds inagoma kwenye net
 
Wanaanza saa ngapi manake huwa nasikiliza hii redio kwa sababu maalumu na kwa muda wa sababu maalum hiyo. Sasa nimeona huu uzi nika tune kwa hiyo nalazimika kuvizia huku namsikiliza Kibonde japokuwa huwa sipendi sana kumsikiliza.
 
Ruge angekuwa analipa kodi asingekubali Clouds waifagilie Chama ambacho kinapumulia mashine
 
Hee kumbe waziri mkuu hakupigiwa kofi hata moja wakati anahitimisha hotuba yake. Ni maneno ya Filikunjombe
 
Mmmmh hawa watu mie nlijua wapo Live kwa studio, kumbe ni mambo za simu, hapa tutapunjwa mengi ya kuyajadili"
 
Heee.............hapa jf pana mambo!.............yaani mtu ananishauri nisikilize clouds redio ya mafisadi na wanafiki wa nchi hii?.....nipe ushauri mwingine tafadhari lkn sio kusikiliza clouds

Lakini "Bunge" unaangalia... LOL!
 
Nape naye. Anasema wabunge wana haki ya kujadili utendaji wa serikali yao. Chama kinaamini serikali imejitahidi kuwa wasikivu hivyi wanatakiwa waendelee kuwa wasikivu. Muda wa kurekebisha mapungufu ina uwe mfupi kwa kuwa mali za wananchi zinapote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom