radio ya wafuuuuu...
Mbona kama Zitto anaongea kwa simu siyo live studio?
Ndio wanaanza sasa!
Nimeng'amua Mkuu. Yalikuwa mawasiliano ya simu, mimi nilidhani wanakutana live.changa la macho, zote hizi ni recorded kwa simu sio live!
Heee.............hapa jf pana mambo!.............yaani mtu ananishauri nisikilize clouds redio ya mafisadi na wanafiki wa nchi hii?.....nipe ushauri mwingine tafadhari lkn sio kusikiliza clouds