Elections 2010 ZITTO: CHADEMA isipoangalia itakosa mbunge kigoma 2015

Jamani huyu zito si aondoke tu kwa amani ya bwana?????? Kwa nini anaendelea kuwa king'ang'anizi hivyo. I hate the guy now days coz amekuwa mshamba wa sifa. Sikutegemea kama kuna siku sifa zitamlewesha namna hii! Ondoka cdm zito utuache tuendelee kukijenga chama! SIFA ZINAUA BABA ACHA HIZO BANAAAAAA!
 
Wewe ndiye utakaye kufa muda si mrefu kwa sababu ya huo ubaguzi uliouanzisha! Cdm hakuna udini wala ukabila! Kama huna cha kuandika kaa kimya!
confirmed! Huwa tunasema kila siku kuwa , cdm=chaga=christianity, sio chama cha siasa na kitakufa muda si mrefu
 
Zito asiwe na wasiwasi kwa CDM kukosa mbunge kigoma 2011! Kauli hizo ni za kuwatisha wanachama wa CDM ili wasimchukulie hatua kutokana na siasa zake na Undumila kuwili. Haitasaidia kitu Kuwa na mbunge ambaye hana nia safi katika chama hivyo potelea mbali chadema ikose hata mbunge mmoja katika bunge lijalo, cha msingi ni kuwa na wabunge wenye nia ya dhati kutetea maslahi ya watanzania bila "UNAFIKI". Hakuna sababu ya kufanya tathmini, yeye aache tu! mbona CCM wameshindwa karibu viti vyote pemba mbona hatujaona vikao vya tathmini? Zito aelewe kuwa sio dhambi NCCR au TLP au chama chochote kuchukua jimbo, la msingi ni kuhoji uwezo na dhamira ya huyo aliyekubalika kwa wanachi. Inaeleweka wazi kuwa kwa sasa zito anajaribu kujijenga tena baada ya kupoteza imani kwa wanachi kutokana na kauli zake pamoja na vitendo ambavyo haviendani na tabia za wanasiasa waliokomaa katika medani hiyo.​
 
Sweety Lady nakupongeza nimeona umejibu hii thread hapa ''''
quote_icon.png
Originally Posted by burakeye
confirmed! Huwa tunasema kila siku kuwa , cdm=chaga=christianity, sio chama cha siasa na kitakufa muda si mrefu''''''

MIMI NIPENDE KUSEMA TU WATU WA AINA YA BURAKEYE HAWAFAI KATIKA JAMII KABISA....YEYE KILA KITU ANAHUSISHA CHADEMA NA UDINI NA UKABILA....AKUMBUKE HATA KIPINDI KILE cuf ILIVYOKUWA NA nGUVU ILIZUSHIWA NI CHAMA CHA KIDINI LAKINI TUJUAVYO CUF SI YA KIDINI ILA SIASA TU...LEO BURAKEYE AMEKUA KIPOFU KUSAHAU HAYA YOTE????????? kwa kifupi Tu Hawa watu wa jamii ya Burakeye ndo wanaturudisha nyuma.....KWA kifupi tu hata mimi nimepoteza sana uaminifu wangu kwa ZITTO Kabwe!!!!!!!!! Amebadilika sana.
 
Zito si Oxygen, Anasubiri nini asiondoke sasa?
Nashangaa kwanini CDM wanamuendekeza mpaka sasa, Kama wana sababu za msingi za kumfukuza uanachama, wakati muafaka ni sasa wasisubiri mpaka 2015
 
Unajua shida ni kwamba Ukimfukuza tu sheria inakataa huwezi umfukuza ni kupiga kura ya kutokuwa na imani naye! TUSIWEKE UDINI wala na pia watanzanie waendelee kuelimishwa maana wengi bado upeo mdogo wanafikiri SWALA LA ZITTO NI LA KIDINI!
 
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita

Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM

amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko

amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma

Huyo bwana mdogo sasa amezidi kuwa mpuuzi, kwani CDM ikikosa kupata Mbunge Kigoma ndiyo mwisho wa maisha? Kwanza Mkoa wenyewe una majimbo nane tu ambayo ukilinganisha na majimbo ya nchi nzima ni sawa na tone la maji kwenye ndoo nzima.
 
Jamani huyu zito si aondoke tu kwa amani ya bwana?????? Kwa nini anaendelea kuwa king'ang'anizi hivyo. I hate the guy now days coz amekuwa mshamba wa sifa. Sikutegemea kama kuna siku sifa zitamlewesha namna hii! Ondoka cdm zito utuache tuendelee kukijenga chama! SIFA ZINAUA BABA ACHA HIZO BANAAAAAA!

Siku hiyo Zito niliyemsikia kwa masikio yangu na kumwona kwa macho yangu kwenye luninga alisema kwa hawezi kufanya makosa kama ya walimtangulia (Nadhani ni Kabouro) yeye hatatoka CHADEMA ng'oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Kum-komboa nani? Wacha pumba wewe!

Ni kichekesho,,

Dar es salaam una posts 2153 hadi sasa lakini upepata thanks katika posts 84 tu. Kwa maneno mengine hujapewa thanks kwa posts zako 2071.

Ni muhimu ukatathmini kipaji chako cha kujenga hoja na kuwashiwishi wasomaji wako.
 
Unajua majina mengine unapojiita unarithi na yaliyomo humo, mfano dar es salaam,inakufanya uwe mdini,mchafu,fisadi na uchafu wake wote, Ili upone kutoka kwenye ufilisikaji na ugutu wa mawazo wewe dar es salaam badilisha jina na ndipo uwe unatoa mawazo yenye shibe na afya hapa jamvini
 
Zitto atakuwa ni mtu muhimu sana kwenye siasa hizi za JF, kwa sababu kuna post zinazomhusu kila siku! Nafikiri watu waanze kuliepukla hili kwa kujadili vitu vingine vihusuvyo ujenzi wa taifa letu changa.

Anyway my comment: Chadema na vyama vingine vyote Tanzania ni waroho wa madaraka, na kama kweli they mean democracy wanayojitangaza kwayo kila siku, basi waache nafasi za juu zigombewe kidemokrasia.
 
Nafikiri ifikie mahali tutumie busara kidogo tu kwa kuachana na kujadili mtu aliyelewa SIFA na umaarufu ambao haujui muda mfupi tu waweza kumkimbia na kusahaulika kabisa!
 
Jana naibu katibu mkuu wa CDM Zitto kabwe amefanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya kawawa mjini kigoma na kueleza haja ya kufanya tathnimini ndani ya chama juu ya uchaguzi uliopiita

Alisema katiak majimbo nane ya mkoa wa Kigoma CDM imepata kiti kimoja, NCCR mageuzi vinne na vilivyobaki vimekwenda kwa CCM

amesema jambo la kujiuliza kuwa kati ya wbaunge wanne wa NCCR mageuzi, watatu wametoka CDM na hadi mwaka jana walikuwa huko

amesema CDM ifanye tathimini kwani itacfika wakati hasa 2015 inaweza ikakos ambunge katika mkoa wa Kigoma

tuwekee evidence mtu mzima audio au gazeti
 
Huyo bwana mdogo sasa amezidi kuwa mpuuzi, kwani CDM ikikosa kupata Mbunge Kigoma ndiyo mwisho wa maisha? Kwanza Mkoa wenyewe una majimbo nane tu ambayo ukilinganisha na majimbo ya nchi nzima ni sawa na tone la maji kwenye ndoo nzima.
Nafikiri kosa tunalolifanya hapa ni kumuangalia mtoa kauli hii ambaye ni Zitto, mimi nafikiri tutafakari kile alichosema na sio tuangalie kijuu juu tu kwa kuwa aliyesema ni Zitto. Ukweli CDM wana haja ya kuangalia na kutathmini kulikoni, Kigoma iliyokuwa ngome yao imekuwaje sasa wapate mbunge mmoja tu na chama kama NCCR kimezoa viti vinne! na nipingane na ndugu yangu Kashaija, no matter how few the constituency are in Kigoma still CDM need them, kwenye siasa hata jimbo moja ni muhimu sana, na hivyo CDM isipuuze ayasemayo Zitto. Na pia tusifikiri CCM are not bothered with their situation at Pemba! tukifikiri hivyo tutakuwa tunafanya kosa kubwa sana, CCM sasa hawalali wakitathmini sio tu hali yao kule Pemba bali nchi nzima, na Chama makini siku zote hufanya hivi, yaani hufanya tathmini ya yatokanayo na uchaguzi ili kujipanga na kutorudia makosa! For the first time I second Zitto in this!
 
Ni kichekesho,,

Dar es salaam una posts 2153 hadi sasa lakini upepata thanks katika posts 84 tu. Kwa maneno mengine hujapewa thanks kwa posts zako 2071.

Ni muhimu ukatathmini kipaji chako cha kujenga hoja na kuwashiwishi wasomaji wako.

Wengine huku sio wajenga hoja,ni wabomoa hoja za wenzao.
 
Hakuna udin hapa cdm.CCm nayo inaendeshwa kidini anayebisha aseme tumpe data.column nzima pale ni udini
 
Back
Top Bottom