1. Mkuu hata yule mwenyekiti wenu wa uvccm taifa na kule Iringa hujawasikia?Tatizo kelele nyingi proof mmeatamia wekeni hata clip za kutengeneza mhalalishe majungu yenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hayajafanyiwa kazi unataka waache kuyasema?
hebu tuliza hicho kiuno sindano ikuingie vizuri.
Huyu nadhani sasa hahitaji sindano bali mtalimbo kabisa. Dada gani hana utulivu hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
tehe tehe tehe, mmempa za uso!Lakini ukiyasoma tumbo linakusokota
Kwa hiyo alimpongeza Dr Shein kwa mabadiliko ya katiba kumpa ushindi Shein na yeye kuambulia UMAKAMU?Iliyompa Seif umakamu haikuwa tume bali ni madiliko ya katiba.
Jikite kwenye hoja msukule!Zito anaumwa ugonjwa wa Urais .
punguza imani za kishirikina.Jikite kwenye hoja msukule!
Mkikosa hoja huwa mnachekesha sana!punguza imani za kishirikina.
JPM ndie anaeongoza kwa Siasa za kilaghai na ndio Maana, Dunia imeanza kumshtukia, hawataki tena kumpa misaada..Wakati yuko PAC alikua kimya ,anahondomola tu,awe mpole ,huyu ni JPM,wale wasiasa za kilaghai watapotea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa ana hesabu Kali Sana.. angalia jinsi anavyoitaja Zenj kwenye post yake..keshapiga hesabu.. anataka nafasi ya Mbowe...He is never comfortable Mbowe being ahead of him.Zito anaumwa ugonjwa wa Urais .
ndiyo mtajuta kama hamtaki free and fair election.Umewahi fika Zimbabwe?!.. nasikia wenyewe wanajuta Sana.
Zitto's human rights focus has shifted seismically to Zanzibar since his symbiotic alliance with Seif Hamad. Yet there has been exponentially more abductions, death threats, killings, political imprisonments and media crack down in the Mainland than in the Island under Magufuli regime.
His calculus to bolster the national stature of his theretofore one-man party by betraying his constituents is a salient feature of unprincipled politicians.