Zitto: Bila aibu watatokea watu watatetea hili igizo la Tanzania na Barrick. Hivi $300m ni % ngapi ya $194 bilioni?

Tunalipwa dola milioni 300 na bado mazungumzo yanaendelea.
Na muhimu kuna mambo mengi yamerekebishwa kwenye mikataba!
Umesikia Tanzanite one wamesemaje?
Deal done mzee kwan mwanzo tulikua tunapataje mzee mchanga nasikia unaondoka bila kuchenguliwa itakuaje na noah zetu mana ckuelewi tanzanite muweke pembeni kwanza ata ukimjumlisha atupati noah
 
Back
Top Bottom