Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 584
- 644
ZITTO BAADA YA BOEING TUJIBU KWANZA HAYA YA CAG NA ACT?
Kiongozi Mkuu au kwa lugha ya Kifarsi inayozungumzwa kule Iran "Ayatollah" wa Chama cha ACT, Zitto Kabwe baada ya kitambo cha kukosa ajenda kaibuka tena!!
Safari hii kaja na hoja nyingine muflisi; anahoji uimara wa ndege za Boeing ambazo Rais Magufuli ndio kwanza kaagiza na iko kiwandani inatengenezwa.
Huyu Bwana na wenzake wamefilisika vya kutosha na sasa wanarukia kila Rais anachotekeleza na kujaribu kutafuta kasoro za kulazimisha.
Wakati zinakuja Bombardier alidai si mpya na hazina usalama hoja yake ilipofilisika mara tukamuona kaipanda Bombardier kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma
Sasa baada ya ukimya hasa kufuatia ripoti ya CAG kukiumbua chama chake anataka kutuhamisha ktk agenda.Amekwama.
Amekwama kwa sababu bei na details zote za manunuzi ya ndege za Boeing wenyewe wanaweka update kila siku kwenye tovuti yao na sasa Serikali kupititia kwa Prof. Mbarawa imeshamjibu kuwa wakaguzi wetu wanakwenda kukagua kila hatua ya utengenezaji wake na hakuna blah blah
Hilo kahoji kapata jibu la papo kwa papo-tunamwomba sasa Zitto atupe jibu la papo kwa papo kwa hoja zetu maana alikuwa kimya.
Anakuwaje kimya au kuhoji usalama wa Boeing ambayo ndio kwanza inaundwa kiwandani katika wakati ambapo chama chake kina kashfa kubwa ya kikaguzi.
Ripoti ya CAG inaonesha kuwa ACT ilikusanya kiasi cha TZS milioni 498.7 za wanachama lakini katika vitabu zikawekwa milioni 410 tu
CAG amehoji ziko wapi kiasi cha TZS milioni 88.43???♂♂Ayatollah yuko kimya leo anajifanya kujua ya Bieing.Hii asubiri kuipanda tu!
ACT pia imevurunda katika mambo mengine basic ya kiuchumi na kihasibu huku Ayatollah mara kadhaa akijinasibu yeye ni mbobezi wa uchumi.
Mfano kinyume na kifungu cha 14(10)(a) cha Sheria ya Vyama vya Siasa chama chake kimeshindwa kuweka kumbukumbu ya vitabu vya stakabadhi, leja na kukosekana daftari la mali za kudumu.
Pamoja na madudu mengine pia CAG amebaini uongozi chini ya Ayatollah umekutwa na masurufu yasiyorejeshwa yenye thamani ya TZS milioni 210.23
Hamjashika dola tu mshakubuhu hivi salaleeeee halafu unahoji ya Boeing♂♂
Tunasubiri majibu ya mamilioni haya yasiyoeleweka yaliko ndani ya ACT.
Political Jurist, UDOM