Zitto azushiwa kupata ajali, asema "am alive and well" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto azushiwa kupata ajali, asema "am alive and well"

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Halisi, Oct 14, 2010.

 1. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Zitto Kabwe katika twiter and Face Book "just finished my rally in Kahama please ignore the malicious rumour going round that I've been involved in an accident am alive and well"

  Amepikea sms isemayo, "Poleni wapinzani wenzangu kwa kumpoteza zito kabwe kwa ajali ya gari."..

  My Take: Hii si mara ya kwanza na si dalili nzuri, vyombo vya dola viwe makini visiwe chanzo cha vurugu katika nchi hii, usalama wa wananchi na viongozi wa vyama vyote, CCM na wapinzani uko mikononi mwao kwa sasa.
   
 2. d

  dzed25 Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watangaze sera sio kutunga uzushi
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  CCM IMEISHIWa
   
 4. K

  King kingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Au walikuwa wamempangia ajali??
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hawana cha kuongea majukwaani wanabakia kuzusha mambo..mbona ile ya jangwani hawakuisema na kutumia meseji watu
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mh,hawa walipanga hiyo ajali nahisi
   
 7. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 586
  Trophy Points: 280
  wamechemka, nakumbuka ile ajali iliyomuondoa mama salome mbatia...........zito anaielewa vizuri.
   
 8. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ni waongo maana jioni ya leo nilipigiwa na jamaa yangu aliyeko Kahama kuwa alihudhulia mkutano wa Zitto ingawa anasema alifika amechelewa sana wakati wao walikuwa wamesubiri tangu saa 7 mchana.
   
 9. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  acheni hizo

  hayo ni mambo yenu wenyewe mnaleta propaganda za kitoto mnataka mpate sympathy za wananchi

  hamna lolote
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nani hao???
   
 11. Mongoiwe

  Mongoiwe JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 521
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Binafsi nilipigiwa simu na watu kadhaa wakitaka kujua juu ya jambo hilo, ikabidi nimpigie simu Zitto mwenyewe ambapo alinieleza kuwa alikuwa amemaliza mkutano wa Kampeni Kahama. Alisema amepigiwa na waandishi wengi wa Habari wakimuuliza juu ya jambo hilo. Ila wa kwanza kumpigia alikuwa mwandishi wa TBC
   
 12. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  CCM kwa nini hamkui? Mtaendeleza utoto huo hadi lini?
   
 13. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Wataendelea na huu utoto mpaka siku mtakayo amuka na kuwa VOTE OUT simple and clear!
   
Loading...