Zitto Awe Mbaya Wana Kigoma Wawe Wazuri!

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,824
109,109
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Funniest part in all of this is; wanaccm wameumizwa na 'uonevu' aliofanyiwa na chama chake. Actually wameumia zaidi kuliko hata hao wanachadema wenyewe. Zitto i hope you are reading this, wanapiga makofi sio kwa kukushangilia!
 
Du! Wewe hapa ulipofikia ni wakuombewa tu. Mungu wangu naomba umsaidie huyu mja wako, na umsamehe yule ambaye alifanikisha hii kazi ya kumshikia akili zake.

Hivi kwa nini akili kubwa hivi inatumiwa vibaya kiasi hiki? Na kwa manufaa ya nani hasa?
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

Lakini hapo naona kuna Uwalakini; kwenye Demokrasia Wachaguzi hawahusishwi hata kidogo na Mgombea Madaraka kwenye hayo Maeneo...

Kama ni hivyo basi Wananchi wa Ujerumani pia ni wabaya Kwasababu HITLER alichaguliwa kwa kura na kwa haki kuiongoza UJERUMANI… ???
 
Kinana: Wamewanyang'anya Ardhi, Kweli ni Sahihi Kukodi Ardhi yako?... Mkitwambia hatufai tunakataa?... ni Kweli hatufai...
 
Hivi inaingia akilini? Zitto Kabwe awe mbaya lakini waliomchaguwa kuwatumikia, ambao ni wapiga kura wake, wana Kigoma wawe wazuri?

Ni wazi kabisa, kama mnamkataa Zitto ndio mmewakataa waliomchaguwa, na wao hamuwataki na msitake kuwahadaa wana Kigoma.

Hakuna shutuma hata moja tuliyoiona kuwa Zitto ameisaliti chadema. Waionyeshe hapa. Ni uongo tu walioupika kwa Zitto kuelezea nia yake ya kutaka kugombea Uenyekiti wa Chadema, hakuna zaidi.

Wana Kigoma msichotwe akili zenu na wachache hawa wenye chuki binafsi kwa mafanikio ya mwanenu. Msikubali kabisa, amma wamrudishie hadhi yake Zitto amma wamfukuze, kwa maana hiyo wanawafukuza nyie mliomchaguwa Zitto kuwatumikia. Wasikae wakamwacha kama mwanachama tu ilimradi abaki kuwepo bungeni wapate kula ruzuku ya uwepo wake bungeni.

Amma wamfukuze uanachama amma wamuombe radhi na wawaombe radhi wana Kigoma mliomchaguwa.

Wakumbuke kuwa Zitto hakuchaguliwa na Kamati ya Mbowe, Zitto alichaguliwa na wapiga kura wake, ambao ni ninyi Wana Kigoma.

Hiki ni kisa cha "baniani mbaya kiatu chake dawa" X 2. Mara moja ya ruzuku na mara ya pili ni Wana Kigoma.

Kigoma Oyeeeeeeeeeeee! Zitto Oyeeeeeeeeeeeee!

kwahiyo Mwanamkasi akiwa mbaya basi waswahili wote wawe wabay sio??

akili fupi mno aisee
 
Funniest part in all of this is; wanaccm wameumizwa na 'uonevu' aliofanyiwa na chama chake. Actually wameumia zaidi kuliko hata hao wanachadema wenyewe. Zitto i hope you are reading this, wanapiga makofi sio kwa kukushangilia!

Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. Si wote waliomchaguwa Zitto ni chadema, si wote waliomchaguwa Kikwete ni CCM. Kumbuka hilo.
 
Lakini hapo naona kuna Uwalakini; kwenye Demokrasia Wachaguzi hawahusishwi hata kidogo na Mgombea Madaraka kwenye hayo Maeneo...

Kama ni hivyo basi Wananchi wa Ujerumani pia ni wabaya Kwasababu HITLER alichaguliwa kwa kura na kwa haki kuiongoza UJERUMANI… ???

Si mpaka muuoneshe huo ubaya wa Zitto. Uko wapi? kuwa na nia ya kugombea Uenyekiti ndio kishakuwa Hitler?
 
PUMBA.zito sio mgombea binafsi,alisimamishwa na chama.kwahiyo mtu asiwajibishwe kisa wana kigoma watakasirika?jambo la msingi ni kwamba malalamiko ya zito nayo yafanyiwe kazi.
 
Jamani ccm ilipomvua yule mbunge wa Zenji nani aliwaingilia maamuzi yenu, nyie jwann ya CDM na Zito mnakomaliia? Kunani?
Ni kwamba ccm walikuwa wanamwandaa zitto awe mwenyekiti wa chadema kwa manufaa ya ccm.Kwa sababu mipango yao imevurugwa,ndiyo maana ccm wameumia sana kiasi wanashindwa kuvumilia.
Ni kama vile tu Shibuda alivyo mbunge wa ccm kupitia tiketi ya chadema.
 
Kama Unajua zito hakuchaguliwa na kila mtu wa Kigoma sasa unashangaa nini Viongozi wa CHADEMA wakienda kuongea na "ambao hawakumchagua zito?"
Tafakari kabla ya ku post!
 
Ngoja Dr.W.Slaa akakutane na waha na wabembe walivyokuwa na hasira na Chadema.

Ni kwanini WAHA na WABEMBE wakawa na hasira na CHADEMA ? Au ni wewe unataka kuweka UKABILA hapo kuonyesha CHUKI uliyonayo MOYONI MWAKO ?

Yeye sio wa kwanza kuna na matatizo kwenye chama hicho; Ni kwanini yeye ndie atakayeleta MAKABILA ya WAHA na WABEMBE wachukie? Mbona AMANI KAROBOU(excuse me the last name spelling) kulikuwa hakuna Makabila yaliyokuwa na HASIRA… kwanini sasa ? Una UHAKIKA au ndio wewe Unayetaka hayo YATOKEE na kwenda kuamasisha ETHNIC CLENSING ??? IS THIS JUST BECAUSE OF POLITICS ?

Sasa inakuwa ni THREAT AGAINST HUMANITY… Kweli tutafika????
 
Si mpaka muuoneshe huo ubaya wa Zitto. Uko wapi? kuwa na nia ya kugombea Uenyekiti ndio kishakuwa Hitler?

Kwahiyo ISSUE ni UBAYA wa ZITTO uonyeshwe na sio issue za UDINI;UKABILA...

Lakini ni Vyama nchi mbili pekee ndio vinavyohangaika na UONGOZI wa VYAMA ni CCM na CCCP cha CHINA:
Na sidhani kugombea Uenyekiti ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI ni UCHAGUZI HURU kuliko kupendeleana na kugawana VYEO…

Sasa kama ni hivyo SALIM AHMED SALIM angekuwa MWENYEKITI wa CCM lakini akazushiwa ya kuwa yeye ni MWARABU KOKO wa PEMBA hafai; Lakini Waarabu wanaojulikana na Zanzibar hao ni Safi...

Lakini kwa kura SALIM alizipata… Lakini hakuna hata Mmoja wenu aliyekuwa na sababu zaidi ya kusema ameshindwa.

Hakuna Kabila lililogoma au DINI iliyogoma… kwanini kwa CHADEMA wote mnataka hayo yatokee???

Au ndio njia pekee ya kukirudisha CHAMA CHA MAPINDUZI madarakani 2015? kujenga CHUKI na KUWAGAWA wananchi lakini baadaye tutatawalika?

Yeah, Umesema ukweli SAMAKI Mmoja akioza then wote Wameoza; Hence What CCM is doing kuozesha CHADEMA one Day It will come right back to mount an attack to CCM
 
Samaki mmoja akioza...

Malizia mwenyewe!
Una maana Mbunge mmoja wa ccm akibaka kabinti na kukiambukiza ukimwi basi wabunge wote wa ccm wako hivyo? ...afu mbona nyie watu wa ccm ndo mko mstari wa mbele kumtetea ZZK? mbona nyie mlipomtimua yule Mansour wenu kule Zenj CDM haikuwatilia mdomo?
 
Huo UKIMWI ulimpa wewe? Kibinti kikiwa na miaka 21, jimama litakuwa na miaka mingapi?
 
Kwahiyo ISSUE ni UBAYA wa ZITTO uonyeshwe na sio issue za UDINI;UKABILA...

Lakini ni Vyama nchi mbili pekee ndio vinavyohangaika na UONGOZI wa VYAMA ni CCM na CCCP cha CHINA:
Na sidhani kugombea Uenyekiti ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI ni UCHAGUZI HURU kuliko kupendeleana na kugawana VYEO…

Sasa kama ni hivyo SALIM AHMED SALIM angekuwa MWENYEKITI wa CCM lakini akazushiwa ya kuwa yeye ni MWARABU KOKO wa PEMBA hafai; Lakini Waarabu wanaojulikana na Zanzibar hao ni Safi...

Lakini kwa kura SALIM alizipata… Lakini hakuna hata Mmoja wenu aliyekuwa na sababu zaidi ya kusema ameshindwa.

Hakuna Kabila lililogoma au DINI iliyogoma… kwanini kwa CHADEMA wote mnataka hayo yatokee???

Au ndio njia pekee ya kukirudisha CHAMA CHA MAPINDUZI madarakani 2015? kujenga CHUKI na KUWAGAWA wananchi lakini baadaye tutatawalika?

Yeah, Umesema ukweli SAMAKI Mmoja akioza then wote Wameoza; Hence What CCM is doing kuozesha CHADEMA one Day It will come right back to mount an attack to CCM

Jisome ulivyoandika, unaongea mwenyewe unajipinga mwenyewe.

Nakuuliza, umelewa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom