Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 5,971
- 3,829
sio Balozi Mwenyewe Anasemaje. Kama Zimbabwe Haijatuambia Sisi Au Dunia Kwamba Wanamuita Nyumbani Balozi Wao, Basi Sio Official.
i Hope And Pray For Zitto, Kwamba Alicho Kisema Bungeni, Kakipata Kutoka Kwenye Official Communication Ya Zimbabwe.
This Wont Happen....?
kuutafuta Umaarufu Kazi Jamani...!