Zitto awabana NSSF, Daily News; serikali yamtaka kutoingilia uwekezaji wa NSSF

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Kamati ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC) inayoongozwa na Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia Chadema, imewatimua Tanzania Standard (TSN) wanaoendesha gazeti la Daily News na Habari Leo ya serikali kwa kuwa na hesabu mbovu.

TSN ambao wanaongozwa na Kaimu Mhariri Mtendaji, Mkumbwa Ally, wameelezwa kwenye kamati kuwa wana hesabu mbovu, hawakusanyi madeni na hawaretire masurufu.

"Tumewatimua. 0.6bn not retired. Madeni 2.6bn! Wamenunua system mbovu. Wamenunua secondhand cars over priced,"

Kuhusu NSSF kamati imewakatalia NSSF kupiga mnada mali za general tyre.

"POAC has stopped NSSF plan to auction assets of General Tyre (EA) Ltd. Auctioning won't serve broader national interest. Priority- REVIVE it!" Amesema Zitto ktk twitter.
 
What abt the money that the government is tapping from the coffers of NSSF and other social security funds, like the building of UDOM, Kigamboni bridge to mention the few... the practice which will have a devastating impact on pensioners in the future..!
 
what abt the money that the government is tapping from the coffers of NSSF and other social security funds, like the building of UDOM,kigamboni bridge to mention the few... the practice which will have a devastating impact on pensioners in the future..!

That is whats called long term investment
 
Lini ZITTO anahamia NCCR? Achape mwendo hatumtaki CDM, anazuga nini? Uenyekiti wenyewe ameupata kwa kubebwa na mkwere hana issue! Kishanunuliwa
 
Lini ZITTO anahamia NCCR? Achape mwendo hatumtaki CDM, anazuga nini? Uenyekiti wenyewe ameupata kwa kubebwa na mkwere hana issue! Kishanunuliwa

Nadhani hatutendi haki kukwepa ajenda kwa kumuangalia mtu usoni. Nadhani tunapaswa kujadili hoja lakini pia tusipindishe. Kwann tusijadili kuhusu TSN na matumizi? Kwann tusijadili General Tyre yetu badala ya kununua matairi ya China na Kenya?

Mnyonge mnyongeni....Zitto Goooo
 
Lini ZITTO anahamia NCCR? Achape mwendo hatumtaki CDM, anazuga nini? Uenyekiti wenyewe ameupata kwa kubebwa na mkwere hana issue! Kishanunuliwa

Kuna watu humu wachochezi sana, wanataka kuona Zitto kahama chama, wanajua ni njia ya kuanzia kuibomoa CHADEMA. Kama wewe humtaki ondoka CHADEMA tuache sisi tunaomtaka. Hata kama hatukubaliani na mtazamo yake mingine lakini tunamkubali.
 
Heko Zitto, tunajua vibaraka hawataki kukuona wala kukusikia manake wanatamani migogoro CDM ila hila zao Wakuu wa CDM ukiwemo wewe mnazitambua hawatawaweza
 
Tatizo ni ku-revive companies zisizomake profit!...why revive general tyre? If you can't pay your loans. Try refinancing or bankruptcy simple as that!....and if they, re cooking the books(TSN) aren't they supposed to be sued?...what the hell is kutimuliwa?
 
Eti huyo ni 'Mpinzi' wa serikali anapoandikwa na gazeti letu ambalo miaka yote huwaona wapinzani wengine wote maadui isipokua Zitto, Mrema na Cheyo mapesa tu.
 
Congrats Zitto kuhusu G.Tyre najua kuna mafisadi wanamezea mate zile mali. Usituangushe walivyofanya wale waroho walio uza nyumba za serikali.
 
'Wamewatimua', ina maana wamewafukuza kazi Mkumbwa & Co? Kamati ina madaraka hayo??
 
'Wamewatimua', ina maana wamewafukuza kazi Mkumbwa & Co? Kamati ina madaraka hayo??

Wamewatimua ktk kukagua hesabu zao, kawaida lazima hesabu zipitiwe na kamati ijiridhishe. Si kuwatimua kazi
 
kuna watu humu wachochezi sana, wanataka kuona Zitto kahama chama. wanajua ni njia ya kuanzia kuibomoa cdm. kama wewe humtaki ondoka cdm tuache sisi tunaomtaka. hata kama hatukubaliani na mtazamo yake mingine lakini tunamkubali.

Zittu kichefuchefu. Hata akifanyaje kuna kaarufu kabaya kanaambatana nae!
Mtu unaweza kutapika!!
 
Nimegundua kwanini hawa jamaa walikuwa against CHADEMA openly, kumbe walikuwa wanaogopa wasibanwe!!!!
 
NSSF's monies are belonging to its members for meeting their old age-retirement benefits the rest are subsidiaries. Whatever investment that is made by the fund managers requires compliance to their investment policies without external (political and government) interventions.

If the NSSF management have had a through recovery plan over General Tyre facility - for which auctioning/disposing off of securities over other plans, like conversion of debts into equity and revive its operations, were thought to be the best feasible recovery option it means that POAC's decision is irrational and goes against best financial investment practices.

Simply put POAC's decision goes against practices of good governance for pension funds and puts contributors/members at risk. This is the beginning of the bad end given NSSF tendency of heavy reliance on single borrower i.e government (s). It is on this basis that one a prudent fund manager will start to revisit its investment strategies as internal debts increases and financial muscles of government gets back to 1990s.

Politics killed Tanesco and other public corporations with this trend Tanzanian pension funds will be of no exception, I predict. We should stop politicizing technical matters like this as NSSF and other financial/non financial institutions are investing in socially desirable investments to keep them financially viable!

I present.

God Bless Tanganyika!
 
that is whats called long term investment

Hakuna cha investment ni ujinga tu. Hizo investment zinampa nini mwanachama? Mwanachama ambaye pesa yake imewekwa ktk investment hizo.

Miradi hiyo imegundulika kuwa ni njia bora ya kutafuna mali za hii mifuko. Ujenzi hapa nchini ni kitovu cha ufisadi. Nyumba nyingi walizojenga ni overpriced. Pesa ya ziada ndo wanazokula kila siku na bodi zao.

Zitto umetenda haki hapo. Lakini sasa usiwe na selectivity ili utakapofika PPF, PSPF mambo kama hayo yaonekane wazi. Zungumzia miradi yao ya ujenzi inavyofyonza mifuko hiyo bila sababu na hata consultation kwa wadau. Mifuko imekuwa kama mfuko chakavu wa kikao cha harusi. Nasikia hata Mfuko wa bima ya Afya wa Taifa nao sasa ni sehemu ya serikali kujichotea tu!!!
 
Back
Top Bottom