Zitto atua Igunga CCM wazidi kuweweseka

Gwota

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
205
92
Wadau

CCM baada ya kupata taarifa ya kuwa kijana machachari ZTTO ZUBERI KABWE mwenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu ametua igunga jana wameamu kupeleka vilaza wao wengine Janaury Makamba na mukama ili kujarbu kunusuhuru hali mbaya wanayoipata kutokana na kasi kali ya CHADEMA.

CCM hawana chao tena igunga tunasubiria km wana ubavu wakamvue chenge na lowasa ili tukabebe tena majimbo yao.
 
Kazi ipo kweli! huyo ni kilaza ,atapotezwa muda si mrefu kama Nape
Wadau

CCM baada ya kupata taarifa ya kuwa kijana machachari ZTTO ZUBERI KABWE mwenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu ametua igunga jana wameamu kupeleka vilaza wao wengine Janaury Makamba na mukama ili kujarbu kunusuhuru hali mbaya wanayoipata kutokana na kasi kali ya CHADEMA.

CCM hawana chao tena igunga tunasubiria km wana ubavu wakamvue chenge na lowasa ili tukabebe tena majimbo yao.
 
Tunawakaribisha sana Igunga. Mwisho watahamishia kamati kuu yote Igunga. Hali tete.
 
Kwa January,ccm wamebugi ni watu wawili ndo walikuwa wanasaidi kushinda kwenye chaguzi kama hizi samweli malichela na mke wake .wengine wanakwenda tu sababu ya pesa na siyo hoja.Rais mwenyewe awezi kwenda pale
 
Wewe na yeye nani kilaza?
Unaweza kufananisha CV yako na yakwake? Wewe endelea kuuza chai zako tu hapa JF...mwenzako anasonga mbele kila kukicha

Mkuu kama ni cv atanishinda kwa kubebwa na baba yake,nasema hivi kama sio baba yake kumsafishia njia asingejaribu kuwa hapo alipo,endelea kupigia debe watoto wa washua na kamshahara kako ka manispaa
 
Pole..ana qualifications ndio maana amefika hapo!
Huu mshara wangu wa manispaa unanitosha kwa mahitaji yangu..
Wewe usiye na kitu nikusikitike!
Endelea tu kuandamana!

Ahhh MKuu kumbe unafanyia manispaa??kazi gani mkuu usikute wewe ni mmojawapo wa wanaotusaidia kufagia barabara zetu
waambie wakupe promotion kidogo bwana umewapigania sana hapa jf
 
Zitto anawakilisha wote ambao inabidi wapigane kivyao, haihitaji baba, mjomba, shangazi, mama, wala binadamu ni uwezo wako mwenyewe bila kubebwa, hao kina January ni watoto wa kubebwa ndio wasikike. Zitto waeleze wana Igunga hata wao wanaweza wasijali sana uduni wao. Waambie kwamba wewe hukubebwa na mtu kilicho saidia ni elimu tu, CDM wako tayari kutoa elimu kwa kila mtoto ili aweze kutimiza ndoto zake, waambie wewe ni mfano hai.
 
Ahhh MKuu kumbe unafanyia manispaa??kazi gani mkuu usikute wewe ni mmojawapo wa wanaotusaidia kufagia barabara zetu<br />
waambie wakupe promotion kidogo bwana umewapigania sana hapa jf
Nawafagilia barabara mkikosa kazi za kufanya muanzishe maandamano! Nawaandalia barabara nzuri za kwenda kuwamwagia watu tindikali na kwenda kuwapiga viongozi wenu
 
tunamsubiri JK maana naona uongozi wote wananishia igunga makubwa kweli maji yamezidi unga
 
Tukiacha unafiki na siasa uchwara ccm hawana kijana mwenye uwezo wa clean politics kama Zito. Uwezo wa Zitto ni kuwajumuisha January mpka December wake na nepi zote unafikia robo tu. kwi kwi kwi kwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom