Elections 2010 Zitto atoka sare na Lyatonga Mrema

Status
Not open for further replies.

Mtu Mmoja

JF-Expert Member
Mar 18, 2010
593
64
naona wengi mnakimbia ukweli. kama alivyokuwa mrema wa vunjo, ndivyo alivyokuwa zito, alimuunga mkono mgombea wa chama tofautu na kumgeuzia kisogo mgombea wa chama chake (kafulila) na kushinda. TLP na CHADEMA anzeni kutafakari kuwa kikulacho ki-nguoni mwako
 
Ni utashi tu na kwaida haubanwi kisheria...hata Slaa mkewe alikuwa CCM..na aligombea udiwani na akashinda..sasa Slaa sijui alimuunga mkono nani hiyo 2005
 
naona wengi mnakimbia ukweli. kama alivyokuwa mrema wa vunjo, ndivyo alivyokuwa zito, alimuunga mkono mgombea wa chama tofautu na kumgeuzia kisogo mgombea wa chama chake (kafulila) na kushinda. TLP na CHADEMA anzeni kutafakari kuwa kikulacho ki-nguoni mwako

Huna hoja,

Zito nilimshuhudia kwa macho yangu akimnadi John Mnyika wa Ubungo. Pia aliongoza kwa juhudi kubwa kampeni za Tarime na Musoma. Hukumbuki Prof. Lipumba alilalamika kuwa CHADEMA wameingilia mkutano wake huko Musoma.

Kushindwa kwa yule mgombea wa Kigoma mjini ni uchakachuaji uso haya wa CCM. Na kushinda kwa Kafulila wa NCCR katika jimbo mojapo kule kigoma, ni nguvu tu ya mgombea huyo. Hata Slaa, aliambiwa hivyo na wananchi wa kule. Endelea kulala usingizi mnono ndugu.
 
Yule jamaa Kafulila - NCCR Mageuzi Kigoma Kusini, niliona video clip ya mdaharo uliongozwa na TBC wakati wa kampeni, alikuwa anamwaga point za kufa mtu, halafu alifanya reserch ya mambo mengi tu, hivyo alikuwa na data almost katika kila kitu alichokuwa akiongelea, kwa ufupi mimi namkubali
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom