Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,416
- 15,962
hiyo ni kejeli mkuu na vile simione alishaonya watu wanaopinga jeshi la polisiSijui kwanini ila Nahisi kama ni kejeli plus ujumbe humo humo.
hiyo ni kejeli mkuu na vile simione alishaonya watu wanaopinga jeshi la polisiSijui kwanini ila Nahisi kama ni kejeli plus ujumbe humo humo.
Siyo kati ya polisi na wananchi ni kati ya polisi na wafugaji........hahahahahaMapambano kati ya polisi na wananchi????
Umeandika ushuzi gani huuHAHAHAHA ANAOMBA PESA MZEE WA KUJITEKA WALAHI
"Nimepata Taarifa za askari polisi 4 kupoteza maisha huko Malagarasi Wilayani Uvinza, mkoani kwetu Kigoma. Nafuatilia kujua chanzo cha mapambano kati ya Polisi na Wananchi, na pia kujua maafa upande wa Wananchi. Kwa sasa Nachukua nafasi hii kumpa pole IGP Sirro na Askari wote"
Ameandika Zitto kwenye ukurasa wake wa Twitter.
Yajayo yanafurahisha !
Huko nyuma utakuwa umetepeta wewe!HAHAHAHA ANAOMBA PESA MZEE WA KUJITEKA WALAHI
mission gani mchawi wewe??? unataka kurudi kwenye matapishi yenu kwa zitto ni msaliti? mnataka asiongee zuri lolote lile!!Umerudi baada ya mission kukamilika with less outputs!!!
Sijui kwanini ila Nahisi kama ni kejeli plus ujumbe humo humo.
yaaaaaan hata ratio yao kati ya polisi na mwananchi nahisi polisi mmoja anatakiwa apigane na watu 1000....wajaribu kutuliza munkari wapeleke mambo kihekimaRIP
Ila Polisi ni wezi sana,kuna mtu aliwahi kuuwawa nikiwa kijiji fulani wakati huo!Sasa Ikabidi polisi waje kusomba watuhumiwa,aiseee kila waliyekutana naye barabarani ilikuwa halali yao!Walimpiga na kumtupa kwenye karandinga!Watu wengi waliacha biashara zao na kujifungia majumbani!Hapo walibeba biashara za watu kama matunda na nafaka zilizotelekezwa na wananchi eneo la biashara!Walivunja hadi mafriji ya vinywaji na kupora vinywaji!Waliingia kwenye majumba ya watu na kupekua,walichokutana nacho kama ni fedha au kitu cha thamani walibeba,kuba mtu alikuwa amejificha juu ya paa la nyumba yake,akawashuhudia polisi wakiingia na kupira simu zake na fedha taslimu!Aliamua kukaa kimya ili wasimtie nguvuni!
Katika habari hii nimesoma kuwa Polisi walipora mali za wananchi na nyingine kuteketeza kwa moto!
Suala hili laweza kuwa liliwaumiza wananchi na kuamua kufight back!
Tunawapa pole wafiwa,ila uchunguzi usio na mihemko ufanyika kuzuia incident ya namna hii huko mbele!
Siku agenda ikiwa nyingine,muone hivyo hivyo kama kiongozi!Huo ndio unongozi,japo wenzio ulioanza nao wanakuona msaliti.
Ni vyema ujue chanzo,na usaidie kutafuta suruhu kama kiongozi,sio kibwabwaja tu ukiisikilizia serikali.