Zitto atoa pole kwa IGP Sirro kuhusiana na vifo vya askari huko Kigoma

Kwahiyo na hiyo ni habari?
"Nimepata Taarifa za askari polisi 4 kupoteza maisha huko Malagarasi Wilayani Uvinza, mkoani kwetu Kigoma. Nafuatilia kujua chanzo cha mapambano kati ya Polisi na Wananchi, na pia kujua maafa upande wa Wananchi. Kwa sasa Nachukua nafasi hii kumpa pole IGP Sirro na Askari wote"

Ameandika Zitto kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Yajayo yanafurahisha !
 
Kweli wewe ni zaidi ya jina lako yaani ni kilaza

R.I.P our soldiers
 
Katika hiyo kadhia ninamuomba ZZK, awe muangalifu sana asije "akachanganywa" humo kwa kuambiwa ni Yeye aliyechochea hiyo kadhia.

Nahofia asije kubambikizwa huo "MSALA".

Bro, ZZK be very vigilant we still love you and our country still needs your contributions as there so many things and issues ahead of us within our country that need to be done.
Kwa hali ilivyo kuwa wakimbambikia zito ndio ntajua tanzania hakuna intelligent investigater
 
ZITO YUPO SAHII
ASKARI KUFA KAZINI IMEKUWAISHUU KUBWA NA KAMWE HAIKUBARIKI,BUT HATUAMBIWI NI RAIA WANGAPI WALIUWAWA KATIKA SAKATAN HILI, HIZIHABARI ZA KUSIKIA UPANDE MMOJA NA KULAUMU WATU WANAOTAKA KUJUA NA UPANDE WAPILI UKOJE NDO TRUMP ANAITA ''FAKE NEWS'' ''MEDIA SPINNING'', KUNA BAD PEOPLE BOTH SIDE THAT WHAT I CAN TELL
ZZK HONGERA KUWAZA KWA MAPANA
Ni hatari sana lakini data zitapikwa ila tulio kalibu tunajua
 
baada ya hapa zitto alisema watu 100 wameuawa sasa atueleze ukweli
 
Back
Top Bottom