Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 6,319
- 3,281
sijawai ona mTanzania mwenye akili nzuri kama wewe. you are one in a million.Soko letu la ndani lina mahitaji makubwa sana hasa mikoa ya magharibi kama Kigoma/Kagera.Wengi katika maeneo hayo wangependa kutumia gesi kwa kupikia lakini upatikanaji haujarahisishwa kwa kiasi kikubwa.Kama soko Kenya linalipa hivyo,basi humu ndani kwa logistic hiyo hiyo wanaweza kuingiza hata zaidi ya Kenya. Nchi hiyo ya jirani kwa sasa iko kwenye kampeni ya kununua na kutumia bidhaa za kwao,Kwa maana hiyo watakuwa wanapambana kulinda soko la viwanda vyao na ule utaratibu wetu uliozoeleka wa soko Holera.biashara ni mbinu ila mwamuzi ni mnunuzi hapa.
Wasindikaji wa gesi na wasambazaji ningewaomba wawe makini na hatua hizi za ushindani wa soko na kama wanataka kuliteka soko la Kenya basi wafuate huo utaratibu uliowekwa ila mzigo unaotumwa Kenya uwe mkubwa. Waswahili wanasema samaki mkaange kwa mafuta yake mwenyewe.
hongera.