Zitto athibitisha CHADEMA kupoteza Igunga

Status
Not open for further replies.

ESAM

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
1,163
546
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.
 
Mkuu ukiona hivyo ujue tayari wala usihangaike, hawa jamaa wamechakachua kila kitu kule igunga!
 
Really? Non-concession na contemplation of a petition za nini kama amekubali CCM imeshinda? Read between the lines badala ya kumfanyia conclusion ya alichosema.
 
ZittoTwitter_normal.jpg

zittokabwe Zitto Zuberi Kabwe @

@mwakamele from our collection it seems we have lost this battle (not the war)

3 hours ago
 
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition

Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote
sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter

"We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"

Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi
 
Nakuunga mkono sana. Zitto na urafiki wa Mashaka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Zitto ni naibu katibu mkuu CDM ana njia nyingi anazoweza kutumia kupata matokeo kabla yako wewe na mimi kama kakiri hakuna sababu za kutafuta visingizio.

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition

Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote
sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter

"We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"

Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi
 
Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:

We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.

Follow the link: Twitter

Hongera Zitto kwa kuwa mkweli sana ! hiyo ndio demokrasia sio wengine humu ndani washabiki mandazii tu
 
Inauma sana lakin its okey. Tulipata watu wengi kwenye mikutano yetu lakin haijawa riziki. Nina hakika ule umati weng wao hawakuwa wanejiandikisha ila nao inawauma pia next time watajiandikisha kwa hasira mana wametambua lilipo tatizo. Pamoja na hayo ni maendeleo makubwa kutoka kutokuwa na mgombe previous election 10 months ago leo hii tulizaniwa kushinda inatia moyo. Tujipange vizur na wakati wa kujiandikisha tuwahamasishe watu wajitokeze kwa wingi nadhan hiyo ndo solution ya msing. Then chama kiendelee kutoa elimu ya uraia. Na kwa kuwa Tbc imegeuka Tbccm ni vema chama kikaanzisha Tv station mapema. Inatia uchungu sana kukosa kwa jinsi watu walivyotuamin wakaonyesha mwitikio mkubwa. GOD BLESS CHADEMA. Viva forever
 
Hongera Zitto kwa kuwa mkweli sana ! hiyo ndio demokrasia sio wengine humu ndani washabiki mandazii tu

Zitto naona siku hizi kaikimbia JF, mvuto wa JF unazidi kupungua.
Uzushi umeongezeka unashindwa kujua upi ukweli na uongo.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom