Yanatolewa lini??Bado matokeo mbona watu mnakuwa na haraka kiasi hicho
Saa nane mchanaYanatolewa lini??
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition
Zitto amekuwa siku zote hana direction anaweza kuwageuka muda wowote
sijaona mantiki ya kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter
"We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition"
Siku zote huwa simuamini bado ana mambo ya kipandikizi pandikizi

Sasa mambo yako wazi kwamba CCM imeshinda Igunga baada ya upande wa pili yaani Chadema kukiri hivyo. Hayo yamesemwa na Zitto katika ukurasa wake wa Twitter ameandika hivi:
We have lost the election. Chadema conceded NOT. Contemplates petition.
Follow the link: Twitter
Hongera Zitto kwa kuwa mkweli sana ! hiyo ndio demokrasia sio wengine humu ndani washabiki mandazii tu
sasa vurugu za nini zitto katulize wafuasi wenuMbona hawatangazi na fujo zimeanza