Zitto ataka wabunge wa zamani waombe radhi

..Zitto tuondolee nonsense politics zako hapa ,kwanza sheria nyingi za madini zilizopitishwa wakati ule ndio hizo hizo tuu zinazofanya kazi sasa,badala ya kupigana zibadilike unadai misamaha huku Barrick/Geita etc wakiendelea KUJICHOTEA kwa sheria hizo hizo hadi leo,lakini atleast wewe unajitahidi kuliko yule mjinga mjinga Peter Lowassa Serukamba
 
• zitto ataka wabunge wa zamani waombe radhi


..........kutokana na hali hiyo, aliyewahi kuwa mbunge wa kisesa kuanzia mwaka 1995 hadi 2000 kupitia udp, bw. Erasto tumbo, ambaye sasa ni mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema aliwaomba radhi watanzania hadharani kwa kuwa miongoni mwa wabunge waliopitisha sheria hiyo.


:) unajua bongo tumezidi mno usanii kwa kweli. Wakati mwingine huwa nashindwaga kushangaa vitu kama hivi. Anyway, mwendo mdundo. Tutafika tu
 
Zitto na wewe uombe radhi pia. Toka umekuwa mbunge 2005 sheria hiyo hiyo ya madini bado inatumika na taifa linaingia hasara kila siku. je unajua ni $$$$$ tanzania imepoteza kupitia sheria hii toka umekuwa mbuge?

Hivyo basi acha longo longo. Peleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya madini bungeni, hakikisha muswada una maslahi kwa watanzania na siyo serikali kuu peke yake bali pia halmashauri na jamii zilizomigodini. ukifanya hilo tutakuunga mkono asilimia 100.

operesheni sangara iendane sambamba na mikakati ya kubadili sheria siyo tu kuhutubia mikutano na kumwaga lawama. watanzania hawataishi kwa hotuba peke yake.
 
Ni uwajibikajikaji kuja mbele ya Jamii na kukubali makosa. itafungua njia ya wengine kuona na kujali mamlaka waliyopewa na wananchi.

Kwa sasa ni aibu tupu.

Mtu anafanya upuuzi mbali ya yote anaona anaowaogoza kama takataka na kutokuwaheshimu ...!

Iba..! vuna mgongoni mwa walala hoi...but Hata heshima kwao..what a messss!!?
 
Wazee hawa kuwalazimisha kuomba radhi itatu-bog down tuache masuala ya maendeleo lilipo ni kufuta nyayo za Mwalimu Nyerere aliposema "Tujisahihishe". Kijitabu hiki kipo labda tukipitie tena kujikumbusha.
 
Wewe nyepesi kwanini usianzi blogu yako uwe unaweka maoni yako kule manake wewe kwa kukurupuka hujambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom