Zitto ataka ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama inayohusu shambulio la Lissu iwekwe wazi

Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Kabla ya mwaka huu haujaisha haya mambo yote yatawekwa hadharani
 
Jipu lililo mpata, Rais ni si kitoto, ni Babu kubwa, limekaa katikati ya Moyo! na hafurukuti ile damu ya Lisu inalia sana tena kwa kupaza sauti. inafanya jipu lake lipwite, pwite!

Naona km damu hii inaweza kufanya mtu azimike ghafla! bila kuumwa! km Ditopile!!! but kuna wanafiki wanamdanganya Rais kwa kuendekeza mlo! eti wana kamsemo nalinda kitumbua changu!

Ombeni samahani tu mumlipe Lisu,stahiki zake zote! yaishe! hela si zipo? mbona Lisu mtu fair sana! kiburi si Maungwana wadau! kwanza atawasaidia hata kuongoza nchi kwa tija!

Akimaliza kwao sasa anakuja kwenu! unganeni, mtumbue jipu lake hilo lililo tunga Moyoni, alianzisha jina hili sasa linamgeuka!
Kwa hali ilipofikia hatutaki msamaha wala hela yoyote , lazima kila mtu avune alichopanda , na huu mwaka haushi kabla ya kila mhusika kulipwa kudadeki ! nchi imefika patamu sana !
 
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Haya ndo mambo ambayo tulitegemea wabunge wote was upinzani kwa umoja wao wasshinikoze vitu Kama hivi ili haki iweze kutendeka, kukaa kimya kunawapata wahusika wa tukio hili wanaochunguza kukaa kimya na pengine kuacha kabisa zoezi la uchunguzi, kuna vitu ambavyo vinatakiwa kushinikiza ili serikali iweze kufanyia kazi
 
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Hii ni hoja alikuwa nayo moyoni tangu mwanzo au imekuja baada ya Bunge kuazimia kuwa litamhoji kutokana na upupu aliousambaza? Unaweza kuona namna huyu mtu alivyo, kwamba anachukua hatua za kutaka kusaidia wengine kwa counter attack strategy! Hilo la WB lisingekuwepo, possibly na hili nalo asingeweza kulisemea!
 
Mwenzenu Bashe alishatupiwa mnofu kaacha kubweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ndiye wa kuhojiwa kushambuliwa na kutekwa kwa watu yeye anataka watu tusihoji kwa sababu anahusika na utekaji na mauaji.

Nchi makini kwa kauli ya Magufuli aliyoitoa Zanzibar bunge lingeanzisha uchunguzi dhidi yake

Juu ya kauli yake na kumfurusha ofisini mapema kabla ya uchaguzi kwa anahatarisha usalama wa taifa

Je wanachi wakianza kujihami na ao wanaitwa wasiojulika khali itakuwaje?
jiwe alitakiwa ahojiwe poor bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hoja alikuwa nayo moyoni tangu mwanzo au imekuja baada ya Bunge kuazimia kuwa litamhoji kutokana na upupu aliousambaza? Unaweza kuona namna huyu mtu alivyo, kwamba anachukua hatua za kutaka kusaidia wengine kwa counter attack strategy! Hilo la WB lisingekuwepo, possibly na hili nalo asingeweza kulisemea!
Kwani wewe unaumia nini Mkuu. Ndio wale wale wa Lumumba? Unaacha hoja unamkimbilia Zitto
 
Jamani kwani Zakaria aliwajeruhi watu gani wale? Mbona tunasahau kirahisi hivi? Tuliambiwa wale walikuwa watu wa usalama na walifanya jaribio la kumteka Zakaria ila likabuma baada ya jama kuwazidi ujanja.
Mbona hawakutuonyesha wakitibiwa? Hivi umpige risasi mtu wa kitengo alafu wakuache? Au ilikuwa drama?
 
Kwa hali ilipofikia hatutaki msamaha wala hela yoyote , lazima kila mtu avune alichopanda , na huu mwaka haushi kabla ya kila mhusika kulipwa kudadeki ! nchi imefika patamu sana !
Dah! mkuu sasa Jiwe keshazeeka huyu tumhurumie mkuu, siamini km mwaka huu atatoboa! hebu nambie anaonyesha makeke! make nimetoka kidogo!
 
Pia ( 2) kama Mbunge Tundu Lissu shambulio lake la risasi haliwahusishi TISS basi Ripoti ya Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama iwekwe Wazi kwa Umma. Pia Watanzania waonyeshwe juhudi zozote za Polisi kuchunguza tukio lile la kikatili kufanyiwa Mbunge nchini. Mimi ninalaumu TISS

Chanzo:Twitter

Na mimi naongeza: hoja Binafsi ya Bashe aliyoipeleka Bungeni kutaka matukio haya yachunguzwe tuelezwe iliishia wapi na kwasababu zipi.
Instagram media - Bt2Krycj3b7.jpg
 
Back
Top Bottom