MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,394
Kutoka JF siku ya jana ambapo memba mmoja alilalamikia tabia ya mbunge Zitto Kabwe kutumia mamilioni ya shilingi kwenda Uingereza kuishabikia timu yake ya Liverpool pamoja na mambo mengine kutumia kiasi kikubwa cha pesa kukaa front row katika uwanja wa Anfield huku akiishi katika hoteli za nyota nne na nyota tano,pamoja na chakula na vinywaji huku akishindwa kuinunulia timu ya jimbo lake jezi ambazo hazifiki hata laki 5.
Zitto Kabwe ameonesha kujali na kutaka kuendelea kuwa mbunge wa jimbo hilo baada ya kuamua kufuata maoni ya memba huyo ambapo amekubali kununulia jezi timu ya Mashujaa wa lake Tanganyika jezi nyekundu ambazo thamani yake bado haijawa wazzi.
Wakuu tutumie vizuri JF.

— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) September 28, 2018