Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Namheshimu sana Zitto Kabwe.Namkubali kwa uwezo wake wa kiuongozi.Lakini kwa la Urais,bado hajakomaa. Kuchagua kijana/handsome tumekoma. Zitto labda anafaa kuwa Waziri au Naibu Waziri.Basi.Nasisitiza,urais hauwezi.Hafai.

CCM watajitahidi kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani,hasa CHADEMA,vinasimamisha wagombea dhaifu ili wao apite hata kwa kuchakachua tena. Huu ndio mtego pekee ulibakia kwa CCM. Chokochoko ndio zimeanza hizo...

Mbona anaonekana Zitto ndio anae faa kuwa rais wa nchi hii , hakuna mwingine ndani ya cdm , licha ya wengine kuwa wazee ila hawana fikra mbadala zaidi ya ubabe na kutishiana. Na walio sema urais wa Zitto ni wabunge wa CDM wenyewe wakina Mdee, Nassari, sasa hapo CCM inahusikaje ?

Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Namheshimu sana Zitto Kabwe.Namkubali kwa uwezo wake wa kiuongozi.Lakini kwa la Urais,bado hajakomaa. Kuchagua kijana/handsome tumekoma. Zitto labda anafaa kuwa Waziri au Naibu Waziri.Basi.Nasisitiza,urais hauwezi.Hafai.

CCM watajitahidi kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani,hasa CHADEMA,vinasimamisha wagombea dhaifu ili wao apite hata kwa kuchakachua tena. Huu ndio mtego pekee ulibakia kwa CCM. Chokochoko ndio zimeanza hizo...

Nani anafaa kuwa rais kwa kupitia CDM?! Mbowe? Ama Mnyika mnayemuandaa? Acheni ubaguzi nyie wabaguzi,Zitto ana kila sifa ya kuwa presidaa na huezi uka,linganisha na hao wala ganja wenu.
 
quote_icon.png
By Precise pangolin
Ukitaka kujua mtu ni mdini 1.Ukimwambia serikali ya sasa ni tofauti na ya awamu ya 1,2 na 3.Atakwambia kivipi wakati Jk kachukua nchi haina shule nyingi,wahitimu shule za juu sasa large in number..Ukimwamibia katika utawala wa Nyerere palikuwepo uhadirifu kazini.ATABISHA.
2.Ukimuuliza mwanasiasa gani msomi na mwenye uwezo wa kuitoa Tz hapa ilipo baada ya Jk.Atakwambia Lipumba,ukimuuliza sababu,utasikia Mwanauchumi bora,aliwahi kusema kila mtz anatakiwa kila mwezi kuwa analipwa takribani 4laki kila mwezi.Lakini ukiuliza kuhusu Slaa na sela ya cement 5000 atakwambia muongo.
3.Mwanasiasa gani unamkubali Chadema? Atakwambia Zitto Zuber Kabwe.
4.Vipi mwamuko wa watanzani katika siasa na jinsi walivyo kipokea chama cha CHADEMA? Atakwambia,tuliwahi kumwona Kaburu,Cuf na Mrema
Mkuu T.2015.CDM huyu jamaa Precise Pangolin kachapwa ban kutokana na mambo ya kushabikia udini na kukandia waislam
 
wengi wanaompinga zitto hawana sababu za msingi, sana saaaaaaaaaaana wanasukumwa na ukaskazini na udini.

Nashkuru mkuu kama na wewe umeliona hilo'hawana point yyte yakumpinga zitto zaidi ya udini'na kama wale wabunge waliokuwa kwenye tamasha hilo la kigoma wangekuwa waislam basi hapa CV zao zingeshamwagwa jamvini,na wangekuwa wameogeshwa matusi yote'lakini ni ni wenzao basi imebaki kumshambulia zitto tu'
 
quote_icon.png
By Precise pangolin
Ukitaka kujua mtu ni mdini 1.Ukimwambia serikali ya sasa ni tofauti na ya awamu ya 1,2 na 3.Atakwambia kivipi wakati Jk kachukua nchi haina shule nyingi,wahitimu shule za juu sasa large in number..Ukimwamibia katika utawala wa Nyerere palikuwepo uhadirifu kazini.ATABISHA.
2.Ukimuuliza mwanasiasa gani msomi na mwenye uwezo wa kuitoa Tz hapa ilipo baada ya Jk.Atakwambia Lipumba,ukimuuliza sababu,utasikia Mwanauchumi bora,aliwahi kusema kila mtz anatakiwa kila mwezi kuwa analipwa takribani 4laki kila mwezi.Lakini ukiuliza kuhusu Slaa na sela ya cement 5000 atakwambia muongo.
3.Mwanasiasa gani unamkubali Chadema? Atakwambia Zitto Zuber Kabwe.
4.Vipi mwamuko wa watanzani katika siasa na jinsi walivyo kipokea chama cha CHADEMA? Atakwambia,tuliwahi kumwona Kaburu,Cuf na Mrema
 
zitoo akiteuliwa kugombea urais nahama nchi

kaka mie sihami najua nchi itamshinda tuu wee hadi umri huu alionao na ubunge miaka 10 kashindwa hata kuoa ataweza ikulu???????????????????????????????????????????????????????????//

alafu kina mdee ndio walewale tu kina zito hapo kila siku magazetini ya udaku kitchen party usanii group ulishamuona myika na mikasi sijui ujinag akama huo he is serious and firm on issues..sio umaarufu wa bongo flava kama kina mdee na nassari nae anaelekea huko hamana kitu huyo nae...

Bora nimchague migiro,membe, hata msaliti mwakyembe na lowassa kuliko zito mnafiki mwenye ajenda za utawala tabaka nyuma ya pazia
 
Nashkuru mkuu kama na wewe umeliona hilo'hawana point yyte yakumpinga zitto zaidi ya udini'na kama wale wabunge waliokuwa kwenye tamasha hilo la kigoma wangekuwa waislam basi hapa CV zao zingeshamwagwa jamvini,na wangekuwa wameogeshwa matusi yote'lakini ni ni wenzao basi imebaki kumshambulia zitto tu'
Mkuu humu ndani kuna Jamaa anatumia id ya Precise pangolin ni mdini kupita kiasi muda mwingi ni kukaandia waislam tuu
 
Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii.Namheshimu sana Zitto Kabwe.Namkubali kwa uwezo wake wa kiuongozi.Lakini kwa la Urais,bado hajakomaa. Kuchagua kijana/handsome tumekoma. Zitto labda anafaa kuwa Waziri au Naibu Waziri.Basi.Nasisitiza,urais hauwezi.Hafai.

CCM watajitahidi kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani,hasa CHADEMA,vinasimamisha wagombea dhaifu ili wao apite hata kwa kuchakachua tena. Huu ndio mtego pekee ulibakia kwa CCM. Chokochoko ndio zimeanza hizo...

we huna hoja ila una chuki
 
Naona umeamua kuanzishia thread kabisa'naona ndio uwezo wako wakufikiria umefikia hapo'wewe ndio mdini no 1 fatilia thread zote ulizowahi kucomment utajua nani mdini hapa jamvini'
 
Uraisi wa nchi hii umekuwa kama kuendesha baiskeli tu, nani asiyeweza ila zitto anadisturb M4C mistake once is humain but twice is a character
 
kaka mie sihami najua nchi itamshinda tuu wee hadi umri huu alionao na ubunge miaka 10 kashindwa hata kuoa ataweza ikulu???????????????????????????????????????????????????????????//

alafu kina mdee ndio walewale tu kina zito hapo kila siku magazetini ya udaku kitchen party usanii group ulishamuona myika na mikasi sijui ujinag akama huo he is serious and firm on issues..sio umaarufu wa bongo flava kama kina mdee na nassari nae anaelekea huko hamana kitu huyo nae...

Bora nimchague migiro,membe, hata msaliti mwakyembe na lowassa kuliko zito mnafiki mwenye ajenda za utawala tabaka nyuma ya pazia
Hapo kwenye nyekundu huyu mama katolewa puta na ban ki-moon kwa kushindwa kudeliver
 
"ZITTO hawezi kuwa Rais wa NCHI HII" Nachukia sana kauli za iana hii. Ingawa mimi sio Pro Zitto lakini kwanini usema kwamba Zitto hawezi kuwa Rais wa nchi hii? Wewe ni nani afterall? Kwani Zitto sio Mtanzania?

Mbona CCM wakisema kauli kama hizi tunachukia? Dr. Slaa hawezi kuwa Rais wa nchi hii? Rais ajae hatatoka Kasikazini?

Tuacheni watanzania na CDM ndiyo tutaamua nani atakuwa Rais wetu. Zitto kama Mtanzania anao uhuru wa kugombea kiti cha URAIS wa JMT.

Mkuu CCM wanajaribu kuivuruga chadema kwasababu wanajua ndio chama chenye nguvu. Hii propaganda tulioizoea yenye nia ya kuanzisha mgogoro, Siku zote tumewaambia CCM kama wao wanaona Zitto anawafaa basi wamchukue agombee huko, sisi tua njia zetu za kidemokrasia kupata wagombea wetu.
 
KWANINI MTU ASEME ZITO HAWEZI??
NANI ANAMAMLAKA YA KUAMUA NANI ANAFAA AU HAFAI?
HAPO NDO WAFUASI WENGI WA CDM WANAPO CHEMKA, WANATAMBUA VIZURI UWEZO WA ZITO NDOMANA WANAMUHOFIA.
WAFUASI VIPOFU WA SLAA NA MBOWE WANATUMIA NGUVU NYINGI KUMZIMA ZITO.
My Take: ZITO KAMA MWANACHAMA YOYOTE ANAYO HAKI, WOTE WAPEWE NAFASI THEN
ATAJULIKANA NANI JEMBE ZAIDI.

nb: acheni ushabik wa kijinga wa
 
Hata kama atanunuliwa kurasa za mbele za magazeti na kupambwapambwa kila mara,bado Zitto Zuberi Kabwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii....

Lini ZITTO ametangaza tena kwamba ana nia ya kugombea urais wa nchi hii? Kama umesoma magazeti tu, sidhani kama kuna haja ya kuanza kumjadili kama anaweza au hawezi.
 
Nyerere peke yake ndiye aliyefanikiwa kuwa rais akiwa na umri mdogo, wengine wote kuanzia miaka 55 nakuendelea.
 
Back
Top Bottom