Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

Cha kujiuliza nyie wapiga tarumbeta wa CHADEMA, kama intelijensia ya chama chenu ina uwezo wa kugundua njama za kukihujumu chama chenu, vipi kinashindwa kujua hii mikakati ya Zitto?
 
Cha kujiuliza nyie wapiga tarumbeta wa CHADEMA, kama intelijensia ya chama chenu ina uwezo wa kugundua njama za kukihujumu chama chenu, vipi kinashindwa kujua hii mikakati ya Zitto?
Kwa akili yako unadhani hawajui huyo yuko uchi long time ago ndio maana watu wake wa karibu including his own biologial mummy intervened once
 
nawe uache ulimbukeni. Hiyo ni habari kuu ambayo kila mtu anaiona. Ku kot yote bila hoja za msingi ni ujuha.
Unasumbua watumia simu bure kwa ujinga wako.
Elimika basi.

Hakuna juha wa hovyo kuliko yule mtu ajifanyae ana hekima kuliko watu wote! Utake usitake wengi pia wanaweza wakapotoka! Tukana sana maana wewe ni kizazi cha akina Lusinde, lakini ipo siku utaikumbuka post yangu! Siasa ni zaidi ya makofi na vifijo vya wapambe! Siasa ni mchezo wa "timing". Unaweza kuwa safi leo na ukachafuka kesho! Bado nasisitiza nangoja mwaka 2014!
 
Najua anasoma kila kitu kinachoandikwa humu na kama kweli alikuwa anauwaza urahis basi atakuwa jibu kalipata, chadema kwenyewe hatumtaki
 
jaman nyerere alishawahi kusema kuwa ikulu si mahali pa kukimbilia. bado miaka mitatu lakini watu bila haya wanadondokwa na udenda kisa "tonge la ugali" a.k.a ikulu hawa watu hawana nia njema wana maslahi binafsi, dalili hizi si nzuri.watanzania wenzangu tusije fanya makosa kama tuliyofanya mwaka 2005., tukajilaumu bure. ni ushauri tu
 
kama huna elimu ya nini kuingia jf great thinkers

Mkuu "Great thinker" kama wewe nilitarajia unasoma vitu kwa umakini,unaelewa then una comment! Yaani baada ya kusoma kwa umakini,ukanielewa hii ndio comment? nimekukubali GT wa ukweli! Tete tete kwi kwi!
 
ZITTO mtangazaji kipindi cha michezo ww, ngumi kupigana na kaseba na cheka wewe, kiongozi wa kigoma nn sijui wewe..... kweli upo vizuri kupambana na FURSA. lakini kwa fursa hii kuwa mpole huna msaada labda tukutaftie pambano na MYWEATHER.
 
Cha kujiuliza nyie wapiga tarumbeta wa CHADEMA, kama intelijensia ya chama chenu ina uwezo wa kugundua njama za kukihujumu chama chenu, vipi kinashindwa kujua hii mikakati ya Zitto?
We umegundua njama gani? Hakuna mkakati wowote la zitto angekuwa kishachomolewa siku nyingi
 
vijana watumike kujenga chama,ni lazima tuwe wakweli kwani CHADEMA bado ina kazi kubwa sana ya kujijenga na kujiimarisha vya kutosha kwani huko vijijini hawajulikani,mfano matokeo ya udiwani,angalia viti vilivyochukuliwa na CHADEMA NA CCM utaona tofauti,Kabla hamjafikiria urais fikirieni kujenga chama imara.
 
Back
Top Bottom