Zitto arudishiwa uongozi wa Bunge na CHADEMA, wamtambua Kikwete

Hapo naona chadema wanagawanyika hat a katika level ya wazee, zee mtei nje, ndesamburo nje, na winging tuliwazoea... Kuna makundi mawili ya wazi, chagga oriented na opposite yake anyways like Alexander the Great once said :"i am not afraid of an army of lions led by a sheep but worry about anarmy of sheep lead by a lion". Naona chedema Freeman ni sheep
Ulitaka wazee wote wachadema wawemo kwenye hiyo kamati...Mi naona wamefanya vizuri kumuacha Mtei ili haki itendeke na kusiwepo na mashaka kwa sababu inaonyesha kuna kutokuelewana kati ya Zito na Mbowe ambae ni mkwe wa Mtei...Ndesamburo nae hakuwepo kwenye siku husika ingawa inadaiwa aliaga......
 
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.

??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.

Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.

Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, amesema nafasi ya aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kambi hiyo, Zitto Kabwe, imefutwa.
Alisema chama hakifikirii kumteua mbunge mwingine kushika wadhifa huo kwa kuwa kanuni za Bunge hazilazimishi kuwepo kwa nafasi hiyo.
Akizungumza na NIPASHE Jumapili jijini Dar es Salaam jana, Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alisema “kanuni za Bunge hazitubani kwamba eti lazima nafasi hiyo iwepo, kwa hiyo hatufikirii kuteua mtu mwingine.”
Kuhusu kikao cha kamati kuu ya Chadema iliyokutana jana, alisema ajenda kuu ilikuwa ni kutathmini uchaguzi na kwamba taarifa ya kikao hicho itatolewa leo.
Zitto alivuliwa nafasi hiyo na wabunge wa chama hicho juzi mjini Bagamoyo kwa kile kilichoelezwa kwamba ni kupingana na wenzake nje ya kikao baada ya kukubaliana wasuse hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akizindua Bunge la 10, Novemba 18, mwaka huu.
Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Tanzania Bara na mbunge wa Kigoma Kaskazini, amesema nafasi hiyo hakuiomba kwa hiyo hakukuwa na sababu za wabunge wenzake kupigakura kmvua nafasi hiyo.

CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
 
12_10_hk10mb.jpg

mpiga picha: weka mkono ndani ya kifua, funga macho kama unakufa, aya tiyari..... front page
hizi stunt zingine
 
Kamati Kuu ya chadema imemtambua JK kama Rais halali na kuagiza wabunge kushiriki shughuli zote za kitaifa. Kamati Kuu imekataa kura ya kutokuwa na imani na Zitto mpaka asikilizwe kwanza kwa mujibu wa natural justice.

??Kamati kuu ya CHADEMA imeunda jopo la wazee wa chama chini ya prof. Baregu kumsikiliza Zitto na matatizo yake na viongozi wengine wa chama ili kuleta suluhu ndani ya chama. Jopo hilo lina Shida Salum, Kitila Mkumbo kama Katibu, prof. Baregu na Shilungushela.

Wabunge wa CHADEMA wameagizwa kukutana na Zitto kwanza kabla ya kuchukua maamuzi yeyote kisha walete taarifa kwenye kamati kuu.
Mnatuletea habari za kutunga mnatufanya wote hamnazo siyo habari yenyewe imeletwa na Mtu wa Pwani tunayemjua na siasa zake. Kwa taarifa yako hata hicho cheo cha Naibu Msemaji wa Upinzani kimefutwa toka jana msitake kudanganya watu. Kama mnampenda sana Zitto kanyeni naye chai, kwa CDM ninayoijua hiyo ndiyo ntolee tunasubiri tena kifo cha cheo cha Naibu Katibu Mkuu, kapewa vyeo kavichezea aende NCCR au CUF au CCM kwa waliomponza.
 
Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, amesema nafasi ya aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kambi hiyo, Zitto Kabwe, imefutwa.

Alisema chama hakifikirii kumteua mbunge mwingine kushika wadhifa huo kwa kuwa kanuni za Bunge hazilazimishi kuwepo kwa nafasi hiyo.

Akizungumza na NIPASHE Jumapili jijini Dar es Salaam jana, Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alisema “kanuni za Bunge hazitubani kwamba eti lazima nafasi hiyo iwepo, kwa hiyo hatufikirii kuteua mtu mwingine.”

Kuhusu kikao cha kamati kuu ya Chadema iliyokutana jana, alisema ajenda kuu ilikuwa ni kutathmini uchaguzi na kwamba taarifa ya kikao hicho itatolewa leo.

Zitto alivuliwa nafasi hiyo na wabunge wa chama hicho juzi mjini Bagamoyo kwa kile kilichoelezwa kwamba ni kupingana na wenzake nje ya kikao baada ya kukubaliana wasuse hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akizindua Bunge la 10, Novemba 18, mwaka huu.

Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Tanzania Bara na mbunge wa Kigoma Kaskazini, amesema nafasi hiyo hakuiomba kwa hiyo hakukuwa na sababu za wabunge wenzake kupigakura kmvua nafasi hiyo.
 
Mnadhimu wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, amesema nafasi ya aliyekuwa Naibu Kiongozi wa kambi hiyo, Zitto Kabwe, imefutwa.

Alisema chama hakifikirii kumteua mbunge mwingine kushika wadhifa huo kwa kuwa kanuni za Bunge hazilazimishi kuwepo kwa nafasi hiyo.

Akizungumza na NIPASHE Jumapili jijini Dar es Salaam jana, Lissu ambaye ni mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), alisema "kanuni za Bunge hazitubani kwamba eti lazima nafasi hiyo iwepo, kwa hiyo hatufikirii kuteua mtu mwingine."

Kuhusu kikao cha kamati kuu ya Chadema iliyokutana jana, alisema ajenda kuu ilikuwa ni kutathmini uchaguzi na kwamba taarifa ya kikao hicho itatolewa leo.

Zitto alivuliwa nafasi hiyo na wabunge wa chama hicho juzi mjini Bagamoyo kwa kile kilichoelezwa kwamba ni kupingana na wenzake nje ya kikao baada ya kukubaliana wasuse hotuba ya Rais Jakaya Kikwete, alipokuwa akizindua Bunge la 10, Novemba 18, mwaka huu.

Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Tanzania Bara na mbunge wa Kigoma Kaskazini, amesema nafasi hiyo hakuiomba kwa hiyo hakukuwa na sababu za wabunge wenzake kupigakura kmvua nafasi hiyo.

Mnapeana vyeo tu bila kuwa na umuhimu, au tuelewe nini hapa? Na kama ni kweli Zitto alipewa hicho cheo kumpoza baada ya kuonekana ana hamu ya kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni basi chadema badilisheni hilo manake huo ni udhaifu katika vyama vingi hapa Afrika. Matokeo yake ni kuwa hata hivi vyama vikipata madaraka vinaishia kuwa na serikali kubwa kupita kiasi, kisa, kumlidhisha kila mmoja aliyechangia ushindi. Toa vyeo vya lazima tu. TAFAKARI.

Unataka wabadilishe mara ngapi si tayari wamekifuta hicho cheo au.
 
HILO LIMEKAMILIKA SASA TURUDI KWENYE VIPA UMBELE VYA CHADEMA
1. KATIBA MPYA
2. KUHAKIKISHA CDM INAONGOZA MAJIJI YA MBEYA, ARUSHA, NA MWANZA NA KUTUMIA ILANI YA CHADEMA
3. TUJENGE MAKAO MAKUU YA KISASA
4. OPRESHENI SANGARA
5. TUME HURU YA UCHAGUZI
6. TUME HURU KUCHUNGUZA UCHAKACHUAJI WA KURA ZA SLAA(PhD)
7.
 
Wewe ndiyo imesema kitu kuendelea kujadili mtu ambaye amejitakia ni kupoteza muda, kama bado kuna anayempenda akanywe naye chai, na kamati kuu itakapo toa taarifa yake watupe mwelekeo wa hayo hapo juu ,taarifa ya kufukuzwa Zitto wasiipe priority kubwa ikiwezekana wajifanye wamesahau kuitolea taarifa, tuna mambo makubwa mbele yetu zaidi ya sisimizi hawa.
 
subirini si muda mrefu chadema wataisoma namba na watajua kuwa watanzania ni werevu kupindukia

watanzania kila move na wanajipanga nn cha kufanya itapofika kutoa hukumu
 
Watanzania wepi hao unaowasema, ndiyo maana ukakimbilia kuanzisha thread eti kamati kuu imemrudishia Zitto cheo chake na imemtambua JK, CDM huwa hawafanyi kosa kama hilo hiyo ndiyo imetoka kamuulize Kafulila alifikiri CDM wanatania kama unampenda sana Zitto kanywe naye chai.
 
Barua ya wazi kwa uongozi wa CHADEMA

Asalaam Aleykum,

Humu jamvini JF, ndani ya CHADEMA yenyewe na miongoni mwa Watanzania, suala la Zitto Kabwe limetawala sana mijadala na fikra za watu kwa muda mrefu sasa.

Pengine hii inatokana na uhalisia wa jambo lenyewe. Zitto ni mwanasiasa maarufu, lakini pia ni kiongozi mkubwa ndani ya CHADEMA (Mbunge, Mjumbe wa Kamati Kuu, Naibu Katibu Mkuu na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni).

Yeye akiwa kama kiongozi wa chama, kitendo alichofanya cha kupingana hadharani na uamuzi rasmi wa chama wa ku-walk out wakati Kikwete anahutubia Bunge ni jambo la kushtua na kusikitisha sana. Amewafedhehesha Watanzania. Vile vile, alivujisha siri za vikao vya ndani vya chama na kusema kuwa kulikuwa na mvutano ndani ya chama huku yeye na wabunge wengine wachache wakipinga uamuzi wa chama.

Nionavyo mimi, suala za Zitto linatumiwa na mafisadi wa CCM kukidhoofisha CHADEMA. MwanaHalisi liliripoti wiki iliyopita kuwa Zitto amekuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na kiongozi wa juu wa Usalama wa Taifa.

Hapa lengo ni kuleta mtafaruku ndani ya CHADEMA ili kufanya chama kipoteze mwelekeo na kitumie muda mrefu kushuhulikia mgogoro wa kupikwa ndani ya chama.

Natoa ari kwa CHADEMA kushuhulikia suala la utovu wa nidhamu wa Zitto kwa haraka sana na kulimaliza hili jambo mara moja ili chama kiendeleze harakati zake baada ya uchaguzi.

Zitto anatumiwa kuleta vurugu ndani ya chama ili kiwe busy kujibu tuhuma na kuzima moto. Ni mbinu hii hii ilitumiwa na CCM dhidi ya Dokta (wa ukweli) WILLIBROD SLAA, kwa kumrushia makombora ya ndoa, umwagaji damu, udini, etc ili apunguze kasi ya kampeni na kuwaanika mafisadi.

Tafadhali viongozi wa CHADEMA toeni adhabu kali kwa Zitto na malizeni hili jambo HARAKA SANA once and for all ili kuanzia SASA tuendeleze harakati muhimu sana mbele yetu.

We are wasting too much time on this one individual. Much bigger issues are at stake and need to be urgently addressed. CHADEMA must not allow itself to be distracted!

Kama alivyosema Senior JF member DENYO elsewhere in this forum, suala la Zitto sasa limalizwe na TURUDI KWENYE VIPA UMBELE VYA CHADEMA:

1. KATIBA MPYA
2. KUHAKIKISHA CHADEMA INAONGOZA MAJIJI YA MBEYA, ARUSHA, NA MWANZA NA KUTUMIA ILANI YA CHADEMA
3. TUJENGE MAKAO MAKUU YA KISASA YA CHADEMA
4. OPERESHENI SANGARA IENDELEE
5. TUDAI TUME HURU YA UCHAGUZI
6. TUME HURU KUCHUNGUZA UCHAKACHUAJI WA KURA ZA SLAA (PhD)

CHADEMA MWENDO MDUNDO!
 
kama ni kweli kamati kuu ime tumia busara japo isiishie hapo kwani Zito haeleweki ni mpenda makuu anavyo onekana kwa nje ndani ni tofaut mfano wa watermelon nje green ukilikata ndani read,la msingi akiri kosa na asirudie utoto wake na asiote uraisi 2015 kwa tabia yake hiyo hafai kuwa kiongozi kama anaweza kuki saliti chama kilicho mtoa kusiko julikana hadi kujulikana ana weza hata kuuza nchi
<br />
<br />
Sina uhakika kama wana CDM wanajua what they want or rather what to do with ZITTO maana wanashangilia kila kitu. Wakisikia Zito kavuliwa uongozi wanasema afadhali ugonjwa umeondolewa, walisikia amerejeshwa wanasema afadhali busara imetumika! Kuweni na msimamo basi.
 
Kuna taarifa kwamba Kamati Kuu ya Chadema imemrudishia Zitto nafasi yake ya Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni na kuunda kamati ya wazee kuchunguza mgogoro huo.
MBONA unatoa details zisizojitosheleza?? eleza chanzo cha taarifa, na taarifa zimetolewa lini.
 
Hapo naona chadema wanagawanyika hat a katika level ya wazee, zee mtei nje, ndesamburo nje, na winging tuliwazoea... Kuna makundi mawili ya wazi, chagga oriented na opposite yake anyways like Alexander the Great once said :"i am not afraid of an army of lions led by a sheep but worry about anarmy of sheep lead by a lion". Naona chedema Freeman ni sheep
hayo ni mawazo mgano na fikra kurupushi.
 
Hapo naona chadema wanagawanyika hat a katika level ya wazee, zee mtei nje, ndesamburo nje, na winging tuliwazoea... Kuna makundi mawili ya wazi, chagga oriented na opposite yake anyways like Alexander the Great once said :"i am not afraid of an army of lions led by a sheep but worry about anarmy of sheep lead by a lion". Naona chedema Freeman ni sheep
Wewe ukiambiwa kuna tetesi Quinine ni baba yako moja kwa moja utaanza kushangilia na kusema afadhali nimepata baba tajiri niondokane na shida bila kufanya utafiti, fikiria kwanza kabla ya kutenda.
 
Angalia msitupe data zilizochakachuliwa! Kwa vyovyote iwavyo, ni lazima busara itumike ila nadhani ishu hii ni ya kwenda nayo kwa makini. Ila tusijikite sana katika kujadili mambo ya ZITO tukasahau mambo ya msingi na kuwaacha mafisadi wakichekelea.
 
Hii pia inawafanya wabunge waliogoma "kuingia na kisha kutoka bungeni" kuwa wabunge makini wanaosimama kwenye ukweli na wale waliotoka kuonekana "wabunge vilaza" wanaofuata tu mkumbo bila ya kutumia akili zao.

Na kama hii habari haina Ukweli the reverse will be true
 
Aha,hii ni habari nzuri pia!
Duh,yaani wana wapiga chenga mafisadi na mipango yao maana nilisikia walikuwa wamesha panga kumnunua jamaa

Aliisha nunuliwa zamani. Kinachoendelea ni kumwezesha aendelee kuwepo lakini nadhani anajisahau sana
 
Hapo naona chadema wanagawanyika hat a katika level ya wazee, zee mtei nje, ndesamburo nje, na winging tuliwazoea... Kuna makundi mawili ya wazi, chagga oriented na opposite yake anyways like Alexander the Great once said :"i am not afraid of an army of lions led by a sheep but worry about anarmy of sheep lead by a lion". Naona chedema Freeman ni sheep

Hayo ni mawazo mgando, acha kuropoka wewe. Unadhani kila tume lazima akina ndesapesa na wengine washiriki? Kwani hao wazee walio chaguliwa hawafai? Na unajua kwanini wamechaguliwa? Uliza kwanza, acha hizo? Acha kukariri kuwa bila akina fulani mambo hayaendi, badilika.
 
Back
Top Bottom