Zitto apendekeza mdahalo kati ya Kinana na Dk. Slaa

Kageuka

JF-Expert Member
Jun 22, 2012
241
59
Mbio za Ikulu- Zitto apendekeza mdahalo Kati ya Kinana na Dk. Slaa, hili limekaaje. Imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema. Nawasilisha kwa mjadala.
 
Hata kwa nguvu ya greda ccm hawawezi kukubali huo mdahalo
 
Naunga mkono hoja.Isipokuwa natoa angalizo mapema kwamba kumpambanisha Dr Slaa na Kinana ni sawa na kuwapambanisha Kichuguu(Kinana) na mlima Kilimanjaro(Dr Slaa).

All in all tunataka mdahalo huo mapema iwezekanavyo
 
Midahalo ni moja kati ya njia ya kutambua weledi wa wanasiasa.
 
Naunga mkono hoja.Isipokuwa natoa angalizo mapema kwamba kumpambanisha Dr Slaa na Kinana ni sawa na kuwapambanisha Kichuguu(Kinana) na mlima Kilimanjaro(Dr Slaa).

All in all tunataka mdahalo huo mapema iwezekanavyo
Molemo
Unamaanisha mlima Kilimanjaro wa kuchora?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mbio za Ikulu- Zitto apendekeza mdahalo Kati ya Kinana na Dk. Slaa, hili limekaaje. Imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema. Nawasilisha kwa mjadala.

hawa wanataka kumtoa povu kinana wa watu tu bure au atatumia ideology ya JK kuwa chadema kila wanachosema ni uongo..
 
  • Thanks
Reactions: MTK
mnapojadili midahalo mnanikumbusha bi dada Rose Mwakitwange-bidada huyu ni chuma, natamani mdahalo huu uje hata leo huku bidada akiwaswalika maswali.
swali linabakia, CCM watakubali kushiriki?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom