Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbio za Ikulu- Zitto apendekeza mdahalo Kati ya Kinana na Dk. Slaa, hili limekaaje. Imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema. Nawasilisha kwa mjadala.
Mbio za Ikulu- Zitto apendekeza mdahalo Kati ya Kinana na Dk. Slaa, hili limekaaje. Imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema.
yeye si ni naibu katibu mkuu,kwa nini asiombe mdahalo na Mwigulu Nchemba
yeye si ni naibu katibu mkuu,kwa nini asiombe mdahalo na Mwigulu Nchemba
Hata kwa nguvu ya greda ccm hawawezi kukubali huo mdahalo
MolemoNaunga mkono hoja.Isipokuwa natoa angalizo mapema kwamba kumpambanisha Dr Slaa na Kinana ni sawa na kuwapambanisha Kichuguu(Kinana) na mlima Kilimanjaro(Dr Slaa).
All in all tunataka mdahalo huo mapema iwezekanavyo
Mbio za Ikulu- Zitto apendekeza mdahalo Kati ya Kinana na Dk. Slaa, hili limekaaje. Imeandikwa katika gazeti la Raia Mwema. Nawasilisha kwa mjadala.
Nalo neno!yeye si ni naibu katibu mkuu,kwa nini asiombe mdahalo na Mwigulu Nchemba
You must compare like with like,not like with unlike!!Kwanini tumdhalilishe rais wa nchi hii ya TZ Dr.W.P.SLAA kwa kumshindanisha mdahaloni na Mwizi Kinana?.