Zitto aonyesha utayali wake kuchukua nafasi za juu za nchi kama urais au uenyekiti wa chadema: .

Sijawahi kumsikia mbowe wala Padri Slaa kuzungumzia mpira.Hii inaonyesha zitto ana uelewa mpana wa mambo mengi.Siyo kashfa za ufisadi.Ni hili la uelewa mpana wa mabo mengi ndiyo sifa ya kiongozi bora
 
Maandalizi ya kuchukua uongozi wa juu wa CHADEMA yanafuata taratibu.Kipimo chake sio kujadili Mpira,Chandimu wala kuonyesha vipaji vya utabiri wa soka Facebook

Pia uchaguzi wa TFF ukishafanyika labda maandalizi ya uchaguzi ujao

Masikini hilo zigo walokubebesha
 
Sijui kama atakiachia hapa
 
Attachments

  • 1387907133842.jpg
    1387907133842.jpg
    9.3 KB · Views: 197
Maandalizi ya kuchukua uongozi wa juu wa CHADEMA yanafuata taratibu.Kipimo chake sio kujadili Mpira,Chandimu wala kuonyesha vipaji vya utabiri wa soka Facebook

Pia uchaguzi wa TFF ukishafanyika labda maandalizi ya uchaguzi ujao

Unamchukia Zitto kuliko Umaskini wako
 
Maandalizi ya kuchukua uongozi wa juu wa CHADEMA yanafuata taratibu.Kipimo chake sio kujadili Mpira,Chandimu wala kuonyesha vipaji vya utabiri wa soka Facebook

Pia uchaguzi wa TFF ukishafanyika labda maandalizi ya uchaguzi ujao

Tofauti yake na kina Yericko ni kwamba wewe unajua nini unachofanya, ipo siku utaconfess nini ulichokuwa unafanya. Wenzio wanaenda enda tu.
 
At least he is not a TOILET PAPER like you Ben. Greetings to your master and MERRY XMAS our dear slave
 
Zitto kabwe alifaa sana kuwa mwenyekiti wa chadema, lakini kwa tabia yake ya kuandaa magenge ya kupata uenyekiti wa chama kwa siri na kukimbilia kulialia kwao baada ya kuvuliwa uongozi wa chama amewakatisha tamaa sana wafuasi wake na wapenda demokrasia wote nchini!
 
Tofauti yake na kina Yericko ni kwamba wewe unajua nini unachofanya, ipo siku utaconfess nini ulichokuwa unafanya. Wenzio wanaenda enda tu.

una maana gani ? Hebu fafanua ili upewe za uso , hatutaki unafiki humu .
 
Back
Top Bottom