Zitto aomba Bunge la dharura kumjadili Pinda

Mtu kama hakuanguka hawezi kuburuzwa Rais kama anaendesha mambo yake kwa makini haburuzwi
 
Nchi ya kitu kidogo, ukitaka chai ewe kaka tumia KETEPA. Aliimba hivi mkenya mmoja bila shaka aliimbia TZ.
 
Peleka ujinga huko mwizi wewe anataka nini kwani wewe unataka nini?!! mipesa yote hiyo mnaiba tu mna laana nyie mnatishia watu sasa hivi mtaona moto hamtaiba tena

Nimekupata mkuu, tuko pamoja katika jibu lako. Watu kama hao uliyemjibu hawatufai humu GT. Huwezi kuwa Great Thinker kwa mtizamo kama huo wa uliyemlipua. Ukombozi wa nchi mara nyingi unaletwa na watu jasiri kama akina zitto. Nchi nyingi zilizofanya mapinduzi hivi karibuni zimefanikiwa kufanya hivyo kwa ujasiri wa watu wachache na wengine wakawaunga mkono.
 
Mungu atawalaani tu wataondoka mmoja mmoja, maisha ya watanzania yanayopotea kwa ulafi wao .. utawarudi tu .. ngoja tuone kati ya MUNGU na huyo KIKWETE wenu nani zaidi...

Kuna wakati Mungu anaenda 'likizo' na kuwaacha wananchi wenyewe wachukue hatua! Unadhani Gadafi hakuwa anasali? Au Wananchi hawakuwa wakisali?
 
Inauma sana na inasikitisha sana kweli jamani na maovu yote yanayosikika na kusemwa hadi na watoto wadogo serikali inashindwa kufanya maamuzi lakini maisha yana mwisho wake!ipo siku mungu atatusikia watanzania.tunaumia tunasikitika kwa kupata kiongozi asiye tufaa tunaumia,mungu atutangulie ktk mapambano haya!Zitto usikate tamaa kweli nakwambia nyuma yako tupo wengi tunaokuunga mkono!
 
MAsikini zitooooooooooooooooooooooooooooo

siasa sio kutumia nguvu misuri mpaka inatoka by ANa makinda

Zitto-K13.jpg

Wanaomtakia mabaya Zitto na wabunge wengine wanalilia kuwajibishwa mawaziri laana hizo ziwe juu ya vichwa vyao na watoto wao
 
Pm hakuwa na jazba amejibu kile kilichomo ndani ya mamlaka yake. Mengine ni ya mwenye mamlaka ya uteuzi.
 
Back
Top Bottom