Zitto anatamba hapa JamiiForums, hivi kwanini na Wabunge wa CCM msimiminike humu?

Naamini jamii forum inawanachama wa vyama vyote,kwa nini wabunge wa ccm hamji kumwaga data humu jamvini?
Zitto mbona tunamkimbiza sana hapa JF, wabunge waje kutafuta nini humu wakti wananchi wapiga kura wa wabunge wa CCM tupo makini kujibu kila uongo wa mtu yeyote. Nadhani waendelee kuhimiza maendeleo kwenye majimbo yao, acha sisi tupambane na wanafiki na waongo kama akina Zitto.
 
Zito hawezi kuwa muongo kwa maneno yako,waje wafia chama wapambane
Zitto mbona tunamkimbiza sana hapa JF, wabunge waje kutafuta nini humu wakti wananchi wapiga kura wa wabunge wa CCM tupo makini kujibu kila uongo wa mtu yeyote. Nadhani waendelee kuhimiza maendeleo kwenye majimbo yao, acha sisi tupambane na wanafiki na waongo kama akina Zitto.
 
Naamini jamii forum inawanachama wa vyama vyote,kwa nini wabunge wa ccm hamji kumwaga data humu jamvini?
Naomba nisikujibu ila hii itakupa jibu sahihi
 
Attachments

  • MHE. RUTH MOLLEL AMBANA WAZIRI NYONGEZA YA POSHO KWA WATUMISHI - YouTube (360p).mp4
    11.8 MB
Zitto mbona tunamkimbiza sana hapa JF, wabunge waje kutafuta nini humu wakti wananchi wapiga kura wa wabunge wa CCM tupo makini kujibu kila uongo wa mtu yeyote. Nadhani waendelee kuhimiza maendeleo kwenye majimbo yao, acha sisi tupambane na wanafiki na waongo kama akina Zitto.
Mfyoooooo mfyuuuuu nyooooooooo koooooo
 
Back
Top Bottom