Zitto anataka magazeti yamshinikize Waziri Mkulo kujiuzulu?

Vyovyot vile unavyotaka kupindisha mambo lakini Zitto hakulalamika.HAKUNA sentensi katika kauli yake inayoonyesha kulalama.Nahofia wewe una undugu na Mkulo so umetumwa kumsafisha humu.

Asikuchanganye huyo Kamura, habari zenyewe hafuatilii anapiga chuki zake tu hapa. Mwananchi ya j5 ilisema kwamba wamempigia na akajibu kwamba angezungumza na wahandishi siku inayofuata.
 
Asikuchanganye huyo Kamura, habari zenyewe hafuatilii anapiga chuki zake tu hapa. Mwananchi ya j5 ilisema kwamba wamempigia na akajibu kwamba angezungumza na wahandishi siku inayofuata.

Acha uongo hiyo haikuwa exculisive story ya Mwananchi peke yake, hata Mtanzania na magazeti mengine wameandika na ipo front page.
 
Asikuchanganye huyo Kamura, habari zenyewe hafuatilii anapiga chuki zake tu hapa. Mwananchi ya j5 ilisema kwamba wamempigia na akajibu kwamba angezungumza na wahandishi siku inayofuata.

Kweli wewe unaumwa Uzittophobiasis kwa sababu umeamua kuanzisha thread "Zitto amtaka Mmkulo apishe uchunguzi-Vyombo vya Habari" sijui kwa nini moderator ameachia hiyo thread yako ya kujaribu kumsafisha Zitto kwa sababu kimantiki inafanana na hii. Hivi kupisha uchunguzi ni kupi na kwenye vyombo hivyo anasema anataka Mkulo ajiuzulu? Wewe unafikiri sisomi na sifuatilii habari za nchi hii?
 
Back
Top Bottom