Endeleza chuki zako, sisi tunaprotect national interest. Hufuatilii habari ujue hiyo 10% iliyobaki ni nini. Umetaka akae kimya mpaka ripoti ikabidhiwe kwa Mkullo ndio aongee? Tungejuaje Mkulo kavunja bodi na kakataa kuhojiwa na auditors?Unataka kutuambia Zitto ana tabia za UDUKUZI? unasema ripoti imekemilika 90% maana yake ni kwamba haijakamilika na haijatolewa rasmi yeye tayari ana majibu. Ana hidden interest katika suala hili kama ilivyo kuwa Barrick.
Kamura
Nilitaka nieleze kidogo kuhusu swala hilo la CHC ambalo alilielezea Zitto kwenye vyombo vya habari,nimeamua nisifanye hivyo kwa sababu unajifanya kwamba unajua na hutaki kueleweshwa
Ndiyo maana ya rasmi!?Ripoti ya CAG haijakamilika na haijawasilishwa.
Ndiyo maana ya rasmi!?
Sioni tofauti kati ya Zitto, Mchungaji Mtikila na Waandishi Makanjanja kwa sababu hao wote ukiwapo mshiko (fedha) wataongea mpaka mishipa iwatoke,
Vyombo vya habari vimeripoti kwamba Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Kabwe Zubei Zitto anataka Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mukulo ajiuzulu ili kupisha uchunguzi wa vyombo vya dola kuhusu tuhuma za kusitisha utendaji wa Bodi ya Shirika la Hodhi ya Mashirika ya Umma.
Ninasema Zitto anataka magazeti yamshinikize Mkulo kustaafu kwa sababu anafahamu utaratibu wa kisheria kama Mbunge ambao anatakiwa kufuata ili Mkulo ajiuzulu. Utaratibu si kuchonga domo kwenye magazeti.
We kilaza kweli kwani Zitto na Mkulo nani popular?Anachofanya Zitto ni kutafuta cheap popularity tu.
mod thread nyingine ni za kufunga... Hopeles, poor thnkin... We al need 2 knw abt this, no way u cn avoid 2 use media hata ukiwa bungeni... Al in al dd u heard zitto anaomba media imsaidie kumtoa Mkulo madarakan...
How did you figure that?Zitto ni mtu makini na anajua sana anachokifanya. CAG anasema report ya CHC imeshakamilika kwa asilia 90, that means anytime itakuwa teyari kukabidhiwa. CAG alipewa kazi hiyo na bodi ambayo Mkullo ameshaivunja, inamaana bila bodi maamuzi yanafanywa na mwenye mali (TR), so wangekabidhiwa ripoti wafukie madudu yao, saizi Zitto ameshaweka wazi hawawezi kufanya hivyo tena, naamini Zitto hawezi kusema kwenye press report ipelekwe bungeni halafu akakaa kimya, lazima atakua ameshafanya official communication bungeni ili CAG aagizwe kuwakilisha report hiyo bungeni. That's how smart people works...
Mimi ninavyofahamu waadishi walimpigia simu kuhusu kuwepo kwa taarifa hizo(sakata la CHC) wakitaka maoni yake.Yeye(Zitto) akawajibu kuwa atazungumza na wanahabari ili kueleza kilichojiri.Sasa mkuu Kamura mimi sijaona tatizo hapo kwa kuwa alichofanya ni kuutarifu umma kupitia wanahabari na yeye kutoa msimamo wake kuwa Mkulo apishe uchunguzi.Katika kutazama kwangu mambo haya sijaona mahala ambapo Zitto kalalamika.
Nadhani tujifunze kuwa wakweli tunaporipoti mambo serious kama haya.
Zitto kashafanya hatua yake kuujuza umma.Je wewe kama mwananchi umechukua hatua gani kuhusu kashfa hiyo au kwako weye hatua ni kumshutumu tena Zitto!?
Ninasema Zitto anataka magazeti yamshinikize Mkulo kustaafu kwa sababu anafahamu utaratibu wa kisheria kama Mbunge ambao anatakiwa kufuata ili Mkulo ajiuzulu. Utaratibu si kuchonga domo kwenye magazeti.
Once again Tanzania politics.Zitto usituchang'anye tena na habari yako vi za vi Mkulo ambaye tu me ni kuwa nchi iko rehani.Issue ya Dowans bado inagonga vichwa vyetu hacha kutusahaulisha kwa sakata la Mkulo kujiuzulu.
Hii game iko kibinafsi sana ila inataka kuingizwa kwa watanzania ili kutu confuse.Tuna kumbuka ahadi zenu ambapo Zitto uliahidi kujiuzulu pindi itapobainika umehongwa na Bodi hiyo.Upande mwingine mwenzio Mkulo kacheza rafu kwanza kuifuta bodi hiyo kwa maana ya kupoteza ushahidi na ripoti itapokuja ionekane Zitto ulikula kitu kwa hao wanabodi,na hili la kususia posho litajengwa kuwa ndipo huko unapoponea ''rushwa''.
Tambua hii ni rafu, yakupasa ujipange yasije yakakurudi maake vita umeianza mwenyewe.Any way wote wataalam wa siasa za miti shamba (kigoma na kilosa) kabilianeni na msituchanganye sisi.
Vyovyot vile unavyotaka kupindisha mambo lakini Zitto hakulalamika.HAKUNA sentensi katika kauli yake inayoonyesha kulalama.Nahofia wewe una undugu na Mkulo so umetumwa kumsafisha humu.Zitto hakupigiwa simu na waandishi yeye mwenywe aliitisha mkutano wa waandishi wa habari.
How did you figure that?