Zitto ananguruma bungeni hivi sasa

utaifakwanza

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
14,193
2,812
katika orodha ya wabunge watakaoongea bungeni mchana huu kuchangia katika mjadala wa wizara zilizopo chini ya ofisi ya rais ikulu ni zitto zubeir kabwe, mpambanaji. tufuatilie mchango wa mwanasiasa huyu mahiri, dira na role model ya vijana.

tunategemea mchango constructive wenye mtizamo wa kitaifa kutoka kwa gwiji huyu wa siasa snsyevuma sana hapa nchini.
 
anazungumzia mchakato wa tume kununua vifaa vya uchaguzi ambapo ndani yake kumekuwa na ubadhirifu
 
kwamba kampuni iliyopewa kuandaa biometric imelalamikiwa kujihusisha na rushwa ktk mchakato wa tender
 
mfumo wa manunuzi na tender uliotumika hapa ni ule ule uliotumika Malawi, ambapo mhusika yupo jela, na yule wa Kenya ambapo mhusika an kesi inaendelea mahakamani
 
anasema lukuvi ambaye anahusika na usimamizi wa tume ya taifa ya uchaguzi yupo bungeni lakini hajaleta majibu ya kueleweka
 
waziri anayehusika na suala hili awajibike kuleta bungeni maelezo ya kuridhisha
 
kuna convention ya kimataifa ya kushirikiana na mataifa ya nje kucontrol na kuzuia utoroshwaji huu
 
kuna matrilioni ya shilingi za kitz zipo nje ya nchi hususan kisiwa cha jersey na uswisi
 
watz wanataka tutaje majina, lakini kutaja majina haisaidii kwa sababu hili ni tatizo la kimfumo. tunataka mfumo huu ufumuliwe kukomesha uchafu huu. serikali iwajibike ipasavyo
 
anahoji hiyo kamati iliyokwenda kujifunza huko ghana imejifunza nini?? anamaliza kwa kuiomba kamati ya bunge iliyokwenda ghana ije na mapendekezo ya kuingiza katika sheria za tz yale mazuri waliyoyaona huko ili yasaidie kuondoa kero hii hapa kwetu
 
Alikua ana report,so kwa wale walioko mbali na luninga wamekua informed.
 
Back
Top Bottom