Zitto ananguruma bungeni hivi sasa

katika orodha ya wabunge watakaoongea bungeni mchana huu kuchangia katika mjadala wa wizara zilizopo chini ya ofisi ya rais ikulu ni zitto zubeir kabwe, mpambanaji. tufuatilie mchango wa mwanasiasa huyu mahiri, dira na role model ya vijana.

tunategemea mchango constructive wenye mtizamo wa kitaifa kutoka kwa gwiji huyu wa siasa snsyevuma sana hapa nchini.
Kwani hajui kusema mpaka Aungurume huyo Msaliti?
 
anasema lukuvi ambaye anahusika na usimamizi wa tume ya taifa ya uchaguzi yupo bungeni lakini hajaleta majibu ya kueleweka

Mwambieni Zitto aache usanii wa kuzuga watu kwani yeye na hao akina Lukuvi ni nyani na ngedere shambani
 
Lema anakomaaa anasema Zitto ataje majina kama anashidwa kutaja basi yeye ampe ayataje, aache ngonjera za kila siku. Nimeipenda sana hii
 
ameongea points hasa suala la TENDA YA TUME YA UCHAGUZI
NA uhuru wa vyombo vya habari kuiga kutoka ghana.
 
Lema analeta ujanjaujanja wake. anajua kuwa kuna mchakato unaoendelea kuchuguza wenye fedha na mali nje ya nchi na Bosi wake ni mmoja wa watuhumiwa wa kuwa na nyumba Dubai ambayo hainekani katika fomu za madili na wala vielelezo vya kibenki vya manunuzi hivyo anajaribu kumzuga Zitto aingilie uchunguzi ili wajenge utetezi wa technicatlities ambao utamuondoa Mbowe katika sakata hili pamoja na mafisadi wengine washirika wake Lema tangia enzi zake TLP na wakati ule alipokuwa akiyaka kujiunga na CCM....
 
Kachukue buku 7 kwa TeamZitto
 
tatizo la kamanda lema ni no school, hao wazungu huko uswisi ataanzaje kuwauliza? wivu tu umemjaa dhidi ya zito hana lolote kuvizia matukio tu!
 
katika orodha ya wabunge watakaoongea bungeni mchana huu kuchangia katika mjadala wa wizara zilizopo chini ya ofisi ya rais ikulu ni zitto zubeir kabwe, mpambanaji. tufuatilie mchango wa mwanasiasa huyu mahiri, dira na role model ya vijana.

tunategemea mchango constructive wenye mtizamo wa kitaifa kutoka kwa gwiji huyu wa siasa snsyevuma sana hapa nchini.

hizo ni sifa za kijinga kwani ni mpambanaji kwenye lipi?au umekoswa cha kuandika sasa unaandika chochote ili mradi upate posho.
hi
 
Back
Top Bottom