Zitto amkabidhi Maalim Seif kadi namba 1, Babu Duni namba 10

Wewe jamaa nakuambia ni kiroja na wala Zanzibar unaonesha wazi wala huijui! Huijui Zanzibar wala siasa za Zanzibar huzijui!!! Hiyo video ni mara baada ya habari kutangazwa! Hakuna amsha amsha yoyote ambayo imefanyika!!! Halafu ulivyo mtu wa ajabu, unataka kubishana hata na media house zenye waandishi wa habari kila pahala!

We jamaa utakuwa Mluguru na hata Zanzibar kwenyewe sidhani kama umeshawahi kukanyaga! Waluguru ndo wana ubishi usio na maana kama wako kwa sababu, mtu ambae ni reasonable, KATU, hawezi ku-doubt ushawishi wa Maalim ndani Zanzibar kuanzia juzi, jana hadi leo!

Halafu hiv una uelewa wowote wa kisiasa wewe?! Eti wafuasi wa Maalimu Seif mwaka 2010!! Hao wa mwaka 2010 unawapima kwa kwa kuangalia nini? Yaani unazungumzia wafuasi wakati wa kampeni za uchaguzi? Kwa mtindo huo unaweza kusema hata Lowassa hana tena wafuasi! Unaweza kusema hata Membe hana tena wafuasi, kwa sababu reference yako ni pilika pilika za wakati wa uchaguzi!

Habari mbaya ninazotaka kukupa ni kwamba! Stay tuned; manake utapata mahangaiko sana very soon!!!
Mimi Mmakonde mkuu.... Tusiandikie mate wakati wino upo 2020 iko hapo mbeleni....

Pigo jengine linakuja na mtaendelea kubaki na ujuha badala kukubali ukweli....
 
Acha kutumia nguvu ndio kishasepa na kijiji chake

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Wanaotumia nguvu ni wafuasi wake... sisi tulio neutral hatutumii nguvu bali tunatizama sinema na ma actors wanavoburuzwa.

Watu wanafikiri kuwa Maalim kuhamia ACT ni surprise kwa CCM :D
 
Mimi Mmakonde mkuu.... Tusiandikie mate wakati wino upo 2020 iko hapo mbeleni....

Pigo jengine linakuja na mtaendelea kubaki na ujuha badala kukubali ukweli....
Wamakonde na Waluguru ni mtu na mjomba ake linapokuja suala la ubishi!


Hata amsha amsha hapo bado! Mtapata taabu sana mwaka huu! Huku ACT, kule CHADEMA!
 
.......
IMG_20190320_123929.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom